Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
County updates, notifications, news from the Marsabit County
Na Adano Sharawe, Mbunge wa North Horr Chachu Ganya ametoa mwito kwa serikali kuu kuzidisha mpango wa kusambaza chakula cha msaada kwa wenyeji wa maeneo yanayokumbwa na ukame. Akiunga mkono muswada kuhusu ukame bungeni, Ganya ametaja kuwa idadi ya wananchi wanaozidi kuadhirika inazidi kuongezeka kila kuchao na kwamba serikali haina[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Mwakilishi wadi wa Kargi/SouthHorr Asunta Galgidele ameshutumu vikali ofisi ya gavana wa Marsabit kwa madai ya kukosa kuwalipa wanakandarasi ambao ndio wanaotegemewa kumalizia miradi ya maendeleo katika maeneo wadi kote jimboni. Akizungumza na Radio jangwani Jumatano kwenye kitengo cha Taswira ya Mwanasiasa ambayo hukujia kila siku[Read More…]
By Waihenya & Qabale, Pana haki ya kuwa na usawa wakti wa ugavi wa rasilimali za umma kwa watu katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika kaunti ya Marsabit Daud Tomasop ambaye pia ni mwakilishi wadi ya Korr/Gurnet ni kuwa serekali ya kaunti haijakuwa[Read More…]
By Waihenya Isaac, Wakaazi mjini Marsabit wameandaa maandamano ya Amani kulalamikia ukosefu wa maji kwa muda wa wiki mbili sasa. Wakaazi hao waliojawa na ghadhabu waliandamana hadi katika afisi ya idara ya maji mjini kuwasilisha malalamishi yao. Wametaja kuwa imekuwa vigumu kwao kuendelea na maisha yao ya kawaida baada ya[Read More…]
By Silvio Nagori, Baraza la madhehebu mbali mbali tawi la Marsabit limekashifu vikali mauaji yanaendelea kushuhudiwa hapa jimboni. Wakizungumza na waandishi wa habari hapa mjini Marsabit viongozi hao wamewataka wananchi kutolipiza kisasi jambo ambalo wamesema kuwa linachangia katika vurugu za mara kwa mara. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Askofu wa jimbo[Read More…]
By Mark Dida, Idadi ya wanao ugua ugonjwa wa saratani ya mlango wa uzazi huenda ikaongezeka katika kaunti ya Marsabit kutokana na wanawake kupuuza zoezi la kupimwa mapema. Kwa mujibu wa mhudumu wa afya anayesimama kitengo cha kuchunguza saratani katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Rose Mary Boke ni kuwa[Read More…]
Picha;Radio Jangwani By Grace Gumato, Wanaume watano wamefikishwa kizimbani katika mahakama ya Marsabit kwa makosa ya wizi kinyume cha sheria kwenye kesi mbili tofauti. Ramadhan Halkano, Diba Golicha, Abdi Hirbo na Hussein Yussuf walikamatwa jana Jumanne ambapo wameshtakiwa kwa makosa ya kumuibia mfanyibiashara Isacko Orto mashine ya kusaga nyasi ya[Read More…]
By Waihenya Isaac, Ni wajibu wa kila mmoja kuhakikisha kuwa watoto wanapata haki zao na pia wanalindwa kikamilifu. Haya ni Kwa mujibu wa afisa wa watoto katika kaunti Marsabit Kenneth Mutuma. Mutuma amesema kuwa sio jukumu la maafisa wa watoto kuwalinda watoto bali ni jukumu la jamii kuhakikisha kuwa kila[Read More…]
By Grace Gumato, Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani kwa mashtaka ya wizi wa kimabavu na kumiliki silaha kinyume cha sheria. Mshukiwa Ltaramatwa Lemangas alikamatwa tarehe 18 september, 2020 maeneo ya Namarei-Ngurunit kaunti ndogo ya Laisamis, ikidaiwa kuwa alisimamisha gari la kibinafsi na[Read More…]
By Mark Dida, Ni watu 129 pekee ambao wamesajiliwa kama wapiga kura katika kaunti ya Marsabit katika zoezi jipya linaloendelea kwa sasa la kuwasajili wapiga kura. Kwa mujibu wa meneja wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC tawi la Marsabit Festus Murithi, nikuwa 129 hao wamesajiliwa tangu zoezi[Read More…]