County Updates

County updates, notifications, news from the Marsabit County

Kipindi Cha Kwaresma Ni Wakti Mwafaka Wa Kufanya Toba Na Kuzungumza na Mungu.- Askofu Peter Kinara

  By Samuel Kosgei, Askofu wa Jimbo Katoliki La Marsabit Peter Kihara amesema kuwa kipindi hiki wakatoliki wote dunia wanapoanza kipindi cha kwaresma ni wakti mwafaka wa kufanya toba na kuzungumza na Mungu. Akihubiri katika kanisa Kuu la Parokia ya Maria Consolata mjini Marsabit, Kihara amewataka wakristo kutumia wakti huu[Read More…]

Read More

Baadhi Ya Walimu Wakuu Katika Shule Za Misingi Za Marsabit Watoa Hisia Zao Kuhusiana Watahiniwa Wa KCPE Kutakiwa Kujiunga Na Shule Ya Kutwa Zilizoko Katika Kaunti Zao.

Picha :Hisani By Mark Dida, Baadhi ya walimu wakuu wa shule ya misingi eneo hili wametoa hisia mbali mbali baada Katibu katika Wizara ya Elimu Belio Kipsang kutoa tarifa kuwa watahiniwa wa KCPE wanatakiwa kujiunga na shule ya kutwa zilizoko katika kaunti zao. Kuligana na mwalimu wa shule ya msingi[Read More…]

Read More

Washukiwa Wanne Waliokamatwa Katika Eneo La Ele Borr Kaunti Hii Ya Marsabit Mnamo Februari 6, Wafikishwa Mahakamani Jijini Nairobi Hii Leo Na Kushtakiwa Kwa Kumiliki Silaha Bila Kibali.

  By Waihenya Isaac, Washukiwa wanne waliokamatwa katika eneo la Ele Borr katika kaunti ndogo ya Turbi,Kaunti hii ya Marsabit mnamo februari 6 mwaka huu wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi hii leo na kushtakiwa kwa kumiliki silaha bila kibali. Wanne hao kati yao maafisa wawili wa Kaunti ya Marsabit wamekana mashtaka[Read More…]

Read More

Viongozi Wa Kidini Nchini Watakiwa Kuwa Katika Mstari Wa Mbele Katika Kuwaelimisha Wananchi Kuhusiana Na Mchakato Wa BBI -Asema Askofu Mkuu Martin Kivuva.

By Waihenya Isaac, Viongozi wa kidini nchini wametakiwa kuwa Katika mstari wa mbele katika kuwaelimisha wananchi kuhusiana na mchakato wa BBI. Kwa Mujibu wa  Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo kuu la Mombasa Askofu mkuu Martin Kivuva ni kuwa  ni jukumu la kila kiongozi wa kidini kuelimisha waumini wake kuhusiana[Read More…]

Read More

Mshukiwa Wa Wizi Wa Mifugo Aliyenaswa Na Maafisa Wa Polisi Siku Ya Ijumaa Katika Lokesheni Ya Mata Arba Eneo La Saku Akosa Kufikishwa Mahakamani Hii Leo Kama Ilivyotarajiwa.

By Mark Dida, Mshukiwa wa wizi wa mifugo aliyenaswa na maafisa wa polisi siku ya ijumaa kufuatia makabiliano na wahalifu lokesheni ya Mata Arba eneo la Saku hakufikishwa mahakamani hii leo ilivyotarajiwa. Kulingana na OCPD wa Marsabit Central Johnston Wachira ni kuwa idara ya Upelelezi DCI imeomba mahakama siku zaidi[Read More…]

Read More

Polisi Waendelea Na Uchunguzi Wa Kisa Ambapo Mhudumu Wa Boda Boda Aliuwawa Na Pikipiki Yake Kuchukuliwa Katika Mtaa Wa Harosa Lokesheni Ya Butiye Huko Mjni Moyale Jana Jioni.

By Mark Dida, Polisi wa kenya kwa ushirikiano na wale wa nchi jirani ya Ethiopia wanaendelea na uchunguzi wa kisa ambapo mhudumu wa boda boda aliuwawa na pikipiki yake kuchukuliwa katika mtaa wa Harosa lokesheni ya Butiye huko mjni Moyale jana jioni. Kulingana na naibu kamishna wa moyale William ole[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter