NDOTTO WARRIORS WATWA UBINGWAWA TAJI LA AHMED KURA TOURNAMENT MWAKA 2024…
December 18, 2024
County updates, notifications, news from the Marsabit County
Baraza Kuu la Waislamu nchini, SUPKEM tawi la Marsabit, limeonyesha mshikamano wake na Mwenyekiti wao wa kitaifa, Hassan Ole Naado, katika wito wake wa umoja na viongozi wa kanisa kwa lengo la kusukuma serikali kushughulikia masuala muhimu ya umma. Kupitia kwa Katibu wao, Omar Kutara, baraza hilo limezungumzia umuhimu wa[Read More…]
Kuna haja ya kuelimisha wakazi wanaoishi karibu na Jangwa la Chalbi, jimboni Marsabit kuhusu umuhimu wa kupanda miti. Haya ni kwa mujibu wa naibu kamishna wa kaunti ndogo ya Maikona Pius Njeru Njeru amesema kuwa bado wakazi wanaoishi katika maeneo ya Chalbi hawajakumbatia mpango wa upanzi wa miti jambo ambalo[Read More…]
Wakaazi wa Marsabit wametahadharishwa kuhusu hatari za mchezo wa kamari, ambao umeanza kuathiri maisha ya vijana na hata uhusiano wa ndoa katika jamii. Akizungumza na idhaa hii, Sheikh Mohamed Nur, kiongozi wa kidini katika msikiti wa Jamia kaunti ya Marsabit, amesisitiza kwamba kamari ni haramu katika dini na kwamba ni[Read More…]
Serekali ya kaunti ya Marsabit inalenga kuhakikisha kwamba sheria ya kuwalinda walemavu imebuniwa kufikia mwishoni mwa mwaka ujao wa 2025. Haya yamewekwa wazi na waziri wa idara ya jinsia na utamaduni katika kaunti ya Marsabit Jeremiah Ledanyi. Akizungumza katika hafla ya kuadhimisha siku ya walemavu ulimwenguni hii leo iliyandaliwa katika[Read More…]
Baraza la makanisa nchini NCCK tawi la Marsabit limetoa wito kwa Wakenya kudumisha Amani na upendo. Kwenye arafa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na kusomwa na mwenyekiti wa kanisa la PCEA mjini Marsabit Elijah Kamitha, NCCK imetoa wito kwa wananchi kukumbatia Amani sawa na maelewano ili kueneza upendo katika jamii. Baraza hilo[Read More…]
Mwezi moja kabla ya serikali kuanza chanjo ya mifugo kote nchini, wafugaji katika kaunti ya Marsabit wametoa hisia kinzani kuhusiana na mpango huo unaolenga mifugo milioni 22. Baadhi ya wafugaji hao wamesisitiza kuwa ni muhimu kwa serikali kuwapa maelezo ya kina kuhusu chanjo hiyo kabla ya kuanza zoezi hilo la[Read More…]
Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wameshauriwa kuhusu kupunguza kula mayai kupita kiasi. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake, mtaalamu wa lishe Regina Dorman amesema kuwa magonjwa kama kisukari yanaweza kuepukwa kwa kupunguza matumizi mengi ya mayai. Alitahadhirisha kwamba ulaji wa mayai kwa kiasi ni muhimu lakini matumizi ya kupita kiasi[Read More…]
VIONGOZI waliochaguliwa katika eneobunge la Laisamis kaunti ya Marsabit wametaja safari ya naibu rais Kithure Kindiki siku ya Jumapili kuwa yenye manufaa kwao ikizingatiwa ahadi ambazo Kindiki alizitoa kwa wakaazi hao. MCA wa Korr/Ngurnit Daud Tomasot akizungumza na radio jangwani ameonesha Imani kuwa ahdi ya kaunti ndogo ya Korr itawafaa[Read More…]
KANISA katoliki jimbo la Marsabit Jumamosi ilisherehekea miaka 60 ya kueneza injili, maadhimisho iliyofanyika kanisa katika kanisa la Cathedral mjini Marsabit. Misa takatifu iliongozwa na Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nyeri Anthony Muheria. Kwenye mahubiri yake Askofu Muheria alisema kuwa ni jukumu la wakristu kusimama kidete katika imani[Read More…]