Local Bulletins

regional updates and news

Jamaa afungwa jela miaka mitano pekee Marsabit kwa kosa la unajisi

Na Grace Gumato Mwanaume mmoja kutoka Loiyangalani amehukumiwa miaka 5 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12 mwaka uliopita. Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa mahakama ya Marsabit Simon Arome amesema mahakama imeridhishwa na ushahidi uliowasilishwa mbele yake kuwa mtuhumiwa alitekeleza unyama huo. Puna[Read More…]

Read More

Zaidi ya 80% ya watu wa Marsabit wanahitaji msaada wa dharura asema gavana Mohamud Ali

Na Samuel Kosgei Gavana wa Marsabit Mohamud Ali ameomba mashirika ya kibinafsi kuendeleza kwa miezi sita zaidi miradi ya kusaidia familia zinazokumbwa na athari za ukame Jimboni kipindi hiki cha ukame. Akizungumza alipopatana na washikadau wanaohusika na mikakati ya kupambana na majanga Jimboni (CSG) gavana Ali amekiri kuwa hali ya[Read More…]

Read More

Former accountant at the ministry of education convicted for fraud

By Machuki Dennson The Milimani Anti-Corruption Court has convicted former accountant at the Ministry of Education Christine Chacha, for fraudulently receiving KSh54,000 and falsely accounting for KSh3.3M, in 2009. The Court convicted Chacha for receiving KSh 54,000 purportedly used to pay accommodation for resource persons to facilitate a workshop held[Read More…]

Read More

Mtu auawa Merile na majambazi usiku wa kuamkia Jumanne

Na Silvio Nangori Mtu mmoja ameaga dunia huku mwingine akinusurika na jeraha la risasi katika eneo la Merille kaunti hii ya Marsabit baada ya kuvamiwa na majambazi. Akidhibitisha kisa hicho kamanda wa kaunti ndogo ya Laisamis Wyclif Lang’at amesema kwamba majambazi hao walimvamia marehemu ambaye ni mfanyibiashara mwendo wa saa[Read More…]

Read More

Wenyeji wa Moyale waitaka serikali ya Kenya kufanya mazungumzo ya kibiashara na Ethiopia kulainisha hali

Na Winnie Adelaide Kule moyale Wafanyibiashara wameitaka serikali kushughulikia kwa haraka mzozo wa mpaka wa Kenya na Ethiopia ili kuwaruhusu kununua bidhaa bila vizingiti kwa kuvuka Ethiopia. Akizungumza na radio jangwani mwenyekiti wa Chama cha Wanabiashara na Viwanda mjini Moyale Mohammed Ali amesema kwamba serikali ya Kenya inafaa kuzungumza na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter