Idadi chache ya wanafunzi waripoti shuleni wiki ya kwanza ya muhula huu…
January 10, 2025
regional updates and news
Na Isaac Waihenya Wakaazi wa kijiji cha El-Ghadhe eneo bunge la NorthHorr wamewataka viongozi eneo hilo kuingilia kati na kuwasaidia kusafirisha chakula cha msaada ambacho wanasema kimekwama katika eneo la Maikona. Wakizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya simu wakaazi hao walisema kuwa wamefahamishwa na DCC wa Maikona[Read More…]
Na Silvio Nangori Kaunti ya Marsabit inatazamiwa kuandaa maonyesho yake ya kwanza kabisa ya biashara kuanzia wiki hi Alhamisi katika uwanja wa Marsabit. Hafla hiyo ya siku tatu itafunguliwa rasmi na Gavana Mohamud Ali mnamo Alhamisi, Septemba 14 na kufungwa na naibu wake Solomon Gubo Jumamosi, Septemba 16. Angalau waonyeshaji[Read More…]
Na Samuel Kosgei Washukiwa watatu wamekamatwa katika wadi ya Korr eneo bunge la Laisamis kaunti ya Marsabit baada ya kupatikana na misokoto 600 ya bangi na kilo nyingine mbili katika mkoba. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani chifu wa Lokesheni ya Korr Jeremiah Ntimo alisema kuwa kukamatwa kwa washukiwa hao[Read More…]
Na Isaac Waihenya Mgawanyiko kati ya wanachama wa kundi la Saku Forum for Disabled wanaomiliki duka la maji lililopo karibu na shule ya msingi ya St Theresa hapa mjini Marsabit umezidi baada ya kundi hilo kumuondoa Waqo Kumbi kama wawakilishi wa kundi hilo kwenye kamati ya idara ya maji jimboni[Read More…]
Slaughtered donkey in Kiambu. Photo by DCI Radio Jangwani POLICE SEIZE DONKEY CARCASSES MEANT FOR SALE TO CITY RESIDENTS Police have recovered freshly slaughtered donkey carcasses that were being prepared for local consumption, at a thicket in Kiambu County. The recovery followed a midnight raid at the scene of the[Read More…]
By Machuki Dennson Approximately 15 kilometers from Marsabit town, Marsabit County, is Dadach boche, an open, illegal dumpsite that serves the town of Marsabit and its environs. A walk down the town during the day, around midday, on the Marsabit North Horr road, you are most likely to be welcomed by[Read More…]
Na Samuel Kosgei Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa Gladys Shollei amemlaumu Katibu Mkuu wa UDA Cleophas Malala kuhusu ghasia za hivi karibuni zilizotokea wakati wa mkutano wa wajumbe wa UDA. Shollei alisema katika miaka iliyopita, hakukuwa na mkutano wowote wa UDA uliokuwa wa vurugu. Jumamosi, Malala alilazimika kumaliza mkutano[Read More…]
Na James Wanyonyi Mwanaume mmoja wa umri wa makamao amefikishwa leo hii katika mahakama ya Marsabit kwa kosa la kumnajisi msichana wa umri wa miaka 16. Badake Yattani alishtakiwa kuwa mnamo tarehe 21 mwezi wa Januari mwaka huu pamoja na wenzake ambao hawakuwa mahakamani wanadaiwa kutekeleza kosa hilo lokesheni ya[Read More…]
Na Adano Sharamo Vijana hapa Marsabit wametolewa wito kuwa mabalozi wa amani na kuhubiri amani baina ya jamii mbalimbali ili kufikisha kikomo mizozo ya kikabila ambayo hushuhudiwa mara kwa mara katika kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa hazina ya maendeleo ya maeneo bunge CDF katika eneo bunge la[Read More…]
Na Isaac Waihenya Viongozi wa Bunge la Vijana katika eneo Bunge la Saku maarufu kama Saku Youth Assembly wamekula kiapo cha kuanza kazi rasmi , zoezi ambalo liliandaliwa katika mkahawa wa Jirime hapa mjini Marsabit. Akizungumza baada ya zoezi hilo mratibu wa mipango katika shirika la Mabadiliko endelevu (IFPC) Hassan[Read More…]