Local Bulletins

regional updates and news

WITO UMETOLEWA KWA SEREKALI YA KAUNTI YA MARSABIT KUTATUA MATATIZO YANAYOIKUMBAA JAMII YA LOIYANGANI IKIWEMO BARABARA MBOVU…

Na JB Nateleng, Serekali ya kaunti ya Marsabit na pamoja na serekali kuu zimetakiwa kushirikiana kuangazia masuala yanayaokumba jamii ya Loiyangalanai baada ya ziwa Turkana kufura na kuadhiri wakazi wanaoishi karibu na ziwa hilo. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, mkurugenzi wa shirika la Wong`an Women Initiative Teresalba[Read More…]

Read More

MAAFISA WA POLISI MJINI MARSABIT WANAWAZUILIA VIJANA WATATU AMBAO WALINASWA KATIKA ENEO LA BADASSA USIKU WA KUAMKIA LEO.

Na Caroline Waforo, Wakaazi eneo la badassa eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wamepongezwa kwa kudumisha amani. Hii ni baada yao kuwakamata vijana watatu usiku wa kuamkia leo na kuwawasilisha kwa idara ya usalama. Watatu hao wanaodaiwa kutoka eneo bunge la Laisamis walipatikana usiku katika eneo la Badassa na[Read More…]

Read More

MTOTO WA MIAKA 7 AFARIKI SONGA BAADA YA KUUMWA NA NYOKA.

Na Grace Gumato Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka saba amefariki hii leo katika eneo la Songa baada ya kuumwa na nyoka hapo jana. Afisa mtendaji katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Kusu Abduba amesema kuwa mtoto huyo alifikishwa katika hospitali hiyo akiwa amefariki saa za usiku. Aidha amesema kuwa[Read More…]

Read More

WAZAZI JIMBONI MARSABIT WATAKIWA KUWAREJESHA WANAO WA SHULE ZA PILI ZA UMAA SHULENI BAADA YA KUPPET KUSITISHA MGOMO.

Na JB Nateleng,  Kufuatia makubaliano ya kurejea kazini kati ya chama cha walimu wa shule za upili na vyuo va kadri nchini (KUPPET) na tume ya kuwajiri walimu (TSC), walimu sasa wanatarajiwa kurejea shuleni kuendeleza kalenda ya masomo. Akizungumza na wanahabari mjini Marsabit,katibu mtendaji wa KUPPET tawi la Marsabit Sarr[Read More…]

Read More

SEREKALI YA KAUNTI YA MARSABIT IMETAKIWA KUHAKIKISHA KUWA WATU WANAOISHI NA ULEMAVU WAMEWAKILISHWA KIUKAMILIFU.

Na JB Nateleng, Serekali ya kaunti ya Marsabit ni sharti ihakikishe ya kwamba watu wanaoishi na ulemavu wamewakilishwa katika idara zote kiukamilifu. Hayao yamekaririwa na mwenyekiti wa muungano wawatu wanaishi na ulemavu wa Saku United Disabled Group John Boru Galgallo. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipee Boru amesema[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter