Local Bulletins

regional updates and news

WACHUUZI WA CHAKULA MJINI MARSABIT WAONYWA..

Afisa anayesimamia usafi wa chakula katika kaunti ndogo ya Saku Goba Boru amewaonya wale wale wanaozugusha vyakula mitaani katika kaunti ya Marsabit kuwa wakabiliwa kisheria. Akizungumza na Radio Jangwani, Boru amesema kuwa zoezi la uchuuzi wa chakula ni kinyume cha sheria kwani vingi vya vyakula hivyo vinavyozungushwa mtaani havijafikia vigezo[Read More…]

Read More

Serekali ya kaunti ya Marsabit kuhakikisha kwamba watoto wanaorandaranda mitaani wanarejeshwa shuleni.

 Serekali ya kaunti imeweka mikakati kuhakikisha kwamba watoto wa kurandaranda wanashugulikiwa vilivyo na kurejeshwa shuleni. Hayo yamekaririwa na afisa mkuu katika idara ya jinsia kaunti ya Marsabit Anna Maria Ndege. Akizungumza wakati wa mkao wa kuzindua kamati itakayoshughulikia maswala ya watoto wanaorandaranda katika kaunti ya Marsabit chini ya usimamizi wa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter