Local Bulletins

regional updates and news

Askofu Mteule Michael Otieno Odiwa Akubali Uteuzi Wake Kuwa Akofu Wa Jimbo La Homa Bay

Picha: Hisani By Adho Isacko Askofu Mteule Michael Otieno Odiwa Amesema Kuwa Amekubali Kwa Unyenyekevu Kuteuliwa Kuwa Askofu Wa Dayosisi Ya Homa Bay Baada Ya Kuteuliwa Siku Ya Jumapili Na Papa Wa Kanisa Katoliki Papa Francis. Akizungumza Nchini Australia Padre Odiwa Amesema Kuwa Atajitolea Kuhakikisha Kuwa Anaendeleza Kazi Nzuri Ya[Read More…]

Read More

Kenya Yaungana Na Ulimwengu Mzima Kuadhimisha Siku Ya Kupambana Na Ukimwi Duniani

By Adano Sharawe & Sanwel Kosgei, Kenya Inaungana Na Ulimwengu Mzima Katika Maadhimisho Ya Siku Ya Kupambana Na Ukimwi Duniani Wakati Ambapo Dunia Nzima Inajizatiti Kukabiliana Na Maambukizi Ya Virusi Vya Covid-19. Wataalam Wanaonya Kuwa Juhudi Zilizoafikiwa Za Kukabiliana Na UKIMWI, Huenda Zikapotea Kwani Nguvu Nyingi Kwa Sasa Zinatumika Katika Vita[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter