Mwanaume moja wa miaka 38 ameponea kifo baada ya jaribio la kujitoa uhai kwa kujinyonga kutibuka usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Soweto mjini Laisamis kaunti ya Marsabit.
February 7, 2025
Watu 300 wanatarajiwa kupewa mafunzo na kujiunga na kikosi cha maafisa wa akiba NPR jimboni Marsabit.