Ruto aahidi kufufua miradi ya maji na umeme Marsabit
PICHA: Bwawa la Badassa Marsabit Na JB Nateleng Serikali ya Kitaifa inatekeleza miradi mbalimbali ya…
Ukavu kuendelea kushuhudiwa Marsabit katika kipindi cha siku saba- Idara ya hali ya anga yadokeza
Na Caroline Waforo Idara ya Hali ya Hewa Kaunti ya Marsabit imetoa utabiri wa hali…
Sheria ya watoto yaongeza ulinzi wa haki za watoto Marsabit.
Na Nyabande Orwa. Sheria ya watoto ya mwaka 2022 imechangia kuimarisha ulinzi wa haki za…
Mabadiliko ya Tabianchi yatishia elimu ya watoto wa jamii za wafugaji Marsabit.
Naibu Gavana wa Marsabit, Solomon Gubo, amesema kuwa mabadiliko ya tabianchi yameibuka kuwa changamoto kubwa…
Serekali yatakiwa kuimarisha haki ya elimu kwa watoto wanaoishi na ulemavu Marsabit
Na JB Nateleng Watoto wanaoishi na ulemavu katika Kaunti ya Marsabit bado wanakabiliwa na changamoto…
KEWOPA yapendekeza kurejeshwa kwa viboko shuleni kukabiliana na utovu wa nidhamu.
Na JB Nateleng Muungano wa Wanawake Wabunge nchini (KEWOPA) umependekeza kurejeshwa kwa adhabu ya viboko…
Gachagua asema atawania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027
Na JB Nateleng Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amesema bado anastahili kugombea urais katika Uchaguzi…
Walimu wakuu Marsabit watakiwa kuzingatia mwongozo wa usalama shuleni
Walimu wakuu wa taasisi za elimu kaunti ya Marsabit hususan shule za upili za mabweni,…
Wazazi watakiwa kuchukua jukumu la kulea maadili ya watoto
Na Nyabande Orwa Mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu katika kaunti ya Marsabit, Rose Orguba,…
Wachuuzi wa maji Marsabit watoa makataa kwa kampuni ya MARWASCO
Na Nyabande Orwa Wachuuzi wa maji mjini Marsabit, katika eneo bunge la Saku, wameipa kampuni…
Shirika la PACIDA latoa wito wa maendeleo endelevu na kujitegemea
Na Caroline Waforo Kuna haja ya kuanzishwa kwa mifumo endelevu ya maendeleo ili kupunguza utegemezi…
Watoto wa Afrika wataka hatua zaidi kukabiliana na changamoto zao.
Na Nyabande Orwa Serikali kuu kwa ushirikiano na washikadau mbalimbali inaweka mikakati ya kuboresha maisha…