Vijana wazidi kutiwa shime kupigania haki zao nchini.
January 21, 2025
Na Grace Gumato Mwanaume mmoja kutoka Loiyangalani amehukumiwa miaka 5 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12 mwaka uliopita. Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa mahakama ya Marsabit Simon Arome amesema mahakama imeridhishwa na ushahidi uliowasilishwa mbele yake kuwa mtuhumiwa alitekeleza unyama huo. Puna[Read More…]
Na Samuel Kosgei Gavana wa Marsabit Mohamud Ali ameomba mashirika ya kibinafsi kuendeleza kwa miezi sita zaidi miradi ya kusaidia familia zinazokumbwa na athari za ukame Jimboni kipindi hiki cha ukame. Akizungumza alipopatana na washikadau wanaohusika na mikakati ya kupambana na majanga Jimboni (CSG) gavana Ali amekiri kuwa hali ya[Read More…]
By Machuki Dennson The Milimani Anti-Corruption Court has convicted former accountant at the Ministry of Education Christine Chacha, for fraudulently receiving KSh54,000 and falsely accounting for KSh3.3M, in 2009. The Court convicted Chacha for receiving KSh 54,000 purportedly used to pay accommodation for resource persons to facilitate a workshop held[Read More…]
Familia zinaomboleza vifo vya watoto watatu waliokufa maji katika mto wa Kathita kaunti ya Tharaka Nithi. Watoto hao walikua wamekuenda kutafuta maji ya kufua sare zao wakati wa mkasa. Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba watoto hao walikuwa wanne wakati wa mkasa huo ila mmoja wao alifaulu kuogelea hadi ufuoni[Read More…]
Rais William Ruto hii leo ameandaa ibada ya shukran kwa mwenyezi Mungu kufuatia ushindi wao katika uchaguzi mkuu uliopita maajuzi. Ibada hiyo imefanyika katika ikulu ya rais Nairobi. Rais Ruto amewashukuru wake wote kwa uchaguzi uliokamilika akisema kuwa ushindi wake ni ushindi wa wote. Rais amewataka wahubiri na wainjilisti kuombea[Read More…]
Na Silvio Nangori Mtu mmoja ameaga dunia huku mwingine akinusurika na jeraha la risasi katika eneo la Merille kaunti hii ya Marsabit baada ya kuvamiwa na majambazi. Akidhibitisha kisa hicho kamanda wa kaunti ndogo ya Laisamis Wyclif Lang’at amesema kwamba majambazi hao walimvamia marehemu ambaye ni mfanyibiashara mwendo wa saa[Read More…]
Na Winnie Adelaide Kule moyale Wafanyibiashara wameitaka serikali kushughulikia kwa haraka mzozo wa mpaka wa Kenya na Ethiopia ili kuwaruhusu kununua bidhaa bila vizingiti kwa kuvuka Ethiopia. Akizungumza na radio jangwani mwenyekiti wa Chama cha Wanabiashara na Viwanda mjini Moyale Mohammed Ali amesema kwamba serikali ya Kenya inafaa kuzungumza na[Read More…]
Na Silvio Nangori Visa vya utapiamlo miongoni mwa watoto katika kaunti ya Marsabit vinazidi kuongezeka Zaidi. Kulingana na shirika la msalaba mwekundu ni kwamba hali hiyo ya utapiamlo imeongezeka kwa asilimia 30 watoto wakikosa kupata lishe bora. Shirika hilo limesema kwamba hali ya sasa ipo mbaya zaidi na hivyo[Read More…]
COMPLAINS HANDLING PROCEDURE FOR RADIO JANGWANI Radio Jangwani is a Catholic station owned by the Catholic Diocese of Marsabit and our main course is to promote PEACE AND RECONCILIATION in Marsabit County and the neighbouring Counties. As a Catholic Radio we emphasize and encourage observation of professional conduct of[Read More…]
Pastoralists’ leaders have moved quite fast in search of greener pastures probably before the migration window closes As predicted by Radio Jangwani political pundits the United Democratic Movement (UDM) has migrated Kenya Kwanza from now the troubled Azimio La Umoja. UDM Party Leader and Mandera Senator-Elect Ali Roba, Deputy Party[Read More…]