Author: Isaac Waihenya

Viongozi ambao hawashabikii Amani hawafai kuchaguliwa kwa vyovyote vile. – Asema Askofu Daniel Qampicha.

Na Waihenya Isaac, Viongozi ambao hawashabikii swala la Amani katika kaunti ya Marsabit hawafai kuchaguliwa kwa vyovyote vile. Hayo ni kwa mujibu wa Askofu wa kanisa la Kiangilikana katika kaunti ya Marsabit Daniel Qampicha. Akizungumzasiku ya jumapili katika kaunti ya Marsabit wakti wa maadhimisho ya miaka 10 tangu kuasisiwa kwa[Read More…]

Read More

Watoto watatu waendelea kupokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Marsabit baada ya kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo.

Na Emmanuel Amalo, Watoto watatu wamefikishwa katika hospitali ya rufaa ya Marsabit baada ya kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana. Akidhibitisha kisa hicho afisa mkuu wa hospitali ya rufaa ya Marsabit Liban Wako amesema kwamba kwa sasa watatu hao wanauguza majeraha ya risasi ila[Read More…]

Read More

Maseneta wamemtaka waziri wa elimu George Magoha pamoja na wakuu wa chama cha shule za upili KESHA kufika mbele yake.

Na Waihenya Isaac, Maseneta wamemtaka waziri wa elimu George Magoha pamoja na wakuu wa chama cha shule za upili KESHA kufika mbele yake kutoa maelezo kuhusiana na kukithiri kwa visa vya uteketezaji wa majengo ya shule. Maseneta hao aidha wamelalamikia utovu wa nidhamu ya wanafunzi miongoni mwa wanafunzi vilevile kipindi[Read More…]

Read More

Serekali yatakiwa kuzidisha mpango wa kusambaza chakula cha msaada kwa wenyeji wa maeneo yanayokumbwa na ukame. – Mbunge wa North Horr Chachu Ganya.

Na Adano Sharawe, Mbunge wa North Horr Chachu Ganya ametoa mwito kwa serikali kuu kuzidisha mpango wa kusambaza chakula cha msaada kwa wenyeji wa maeneo yanayokumbwa na ukame. Akiunga mkono muswada kuhusu ukame bungeni, Ganya ametaja kuwa idadi ya wananchi wanaozidi kuadhirika inazidi kuongezeka kila kuchao na kwamba serikali haina[Read More…]

Read More

Warsha ya siku tatu ya kutoa mafunzo ya kidini kwa walimu wa watoto wa kanisa katoliki PMC yangoa Nanga.

By Waihenya  & Qabale, Warsha ya siku tatu ya kutoa mafunzo ya kidini kwa walimu wa watoto wa kanisa katoliki PMC katika jimbo la Marsabit imengoa nanga rasmi hii leo. Warsha hiyo ambayo inaongozwa na mratibu wa maswala ya vijana katika kanisa katolika jimboni Marsabit Sister Agatha Katuma Mativo inapania[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter