Author: Editor

SERIKALI YAANZISHA PROGRAMU YA KUWEZESHA UWEPO WA INTANETI NA MTANDAO MAENEO YA MASHINANI KAUNTI YA MARSABIT.

Na Samuel Kosgei Serikali imesema kuwa kwa sasa inaendesha programu ya kuwezesha uwepo wa intaneti na mtandao katika maeneo yasiyo na uwezo wa kupatikana kwa mawimbi ya mawasiliano katika kaunti ya Marsabit. Kaimu kamishna wa Marsabit David Saruni amesema kuwa zoezi hilo la kuweka mitambo ya kuwezesha mawimbi ya mtandao[Read More…]

Read More

USALAMA WAIMARISHWA MPAKANI MWA KENYA NA ETHIOPIA KUFUATIA MAKABILIANO YANAYOENDELEA KATI YA KUNDI LA WAASI LA OROMO, OLF NA WANAJESHI WA ETHIOPIA

NA CAROL WAFORO Usalama umeimarishwa mpakani pa Kenya na Ethiopia kufuatia makabiliano yanayoendelea kati ya kundi la waasi la Oromo, OLF na wanajeshi wa Ethiopia. Ni makabiliano yanayoendelea katika eneo la Dukale nchini Ethiopia kilomita moja kutoka kaunti ndogo ya Sololo, Kenya. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani kaimu kamisha[Read More…]

Read More

KAUNTI YA MARSABIT YATAJWA KUPIGA HATUA KATIKA KUBALIANA NA UGAIDI NA ITIKADI KALI

  Na Carol Waforo Kaunti ya Marsabit imepiga hatua kubwa katika kukabiliana na kuziua ugaidi na itikadi kali. Haya yamebainika katika kikao jumuishi cha kaunti ya Marsabit kilichohusisha jamii, Idara mbalimbali serikalini, mashirika yasiyo ya kiserikali pamoja na wanahabari kuhusiana na kukabili na kuzuia ugaidi na itikadi kali. Ni hafla[Read More…]

Read More

MWAKILISHI WA WANAWAKE KAUNTI YA MARSABIT NAOMI JILLO WAKO AENDELEA KUTETEA MSWADA KIFEDHA WA 2024/25

NA SAMUEL KOSGEI MWAKILISHI wa wanawake kaunti ya Marsabit Naomi Jillo Wako ameendelea kutetea mswada kifedha wa 2024/25 unaoenda kujadiliwa na bunge wiki ijayo akisema kuwa mswada huo utazidisha maendeleo kaunti ya Marsabit na taifa lote kwani serikali itakusanya hela za kutosha. Wakti uo huo Naomi anasema kuwa kupitia kupitishwa[Read More…]

Read More

MBUNGE LEKUTON APENDEKEZA VIUNGO MUHIMU VYA MWILI VISIZIKWE NA MAREHEMU BALI ZIPEWE WAGONJWA WATAKAOHITAJI.

Na Samuel Kosgei Mbunge wa Laisamis Joseph Lekuton amependekeza bunge kubuni kutengeneza sheria itakayoruhusu wakenya wanaoaga dunia kupeana viungo vya mwili kwa hiari akisema hatua hiyo itasaidia wakenya wanaohitaji viungo hivyo. Lekuton akizungumza kwenye hafla ya kutoa damu katika hospitali kuu ya Marsabit Ijumaa amesema – kama vile wakenya husaidia[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter