JAMII YA MARSABIT YATAKIWA KUJITOKEZA KUPIMWA UGONJWA WA MENINGITIS ILI KUPATA MATIBABU MAPEMA.
November 15, 2024
Na John Bosco Nateleng Askofu wa Jimbo hili askofu Peter Kihara amewashauri wanafunzi dhidi ya kujihusisha na wizi wa mitihani. Akihutubu katika shule ya wasichana ya Bishop Cavallera huko Karare wakati wa hafla ya kuwazawadi wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani wa KCSE mwaka jana, askofu Kihara alisema kwamba ni sharti[Read More…]
Na Samuel Kosgei Seneta wa Nandi Samson Cherargei sasa anasema kwamba wabunge wa Kenya Kwanza ambao walipinga Mswada wa Fedha wa 2023 uliopendekezwa watakabiliwa na hatua za kinidhamu. Kauli ya Cherargei ilijiri baada ya wabunge 176 kupiga kura kwa niaba ya muswada huo uliogubikwa na utata huku 81 wakipinga ripoti[Read More…]
Na Adano Sharamo Waakilishi wadi na maspika wao wana kila sababu ya kutabasamu baada ya tume ya kuratibu mishahara ya wafanyikazi wa umma SRC kuidhinisha mapendekezo ya nyongeza ya mishahara. Katika taarifa mwenyekiti wa SRC Lyn Mengich amesema mapendekezo hayo yataanza kutekelezwa katika mwaka wa kifedha 2023/24. Katika mapendekezo hayo[Read More…]
Na Isaac Waihenya Waziri wa fedha Njuguna Ndung’u hii leo anatarajiwa kusoma Bajeti ya 2023/24. Hii ndiyo bajeti ya kwanza ya utawala wa Rais William Ruto na Waziri Ndung’u anatarajiwa kusoma makadirio ya Ksh.3.6 trilioni. Kamati ya Fedha ya Bunge la Kitaifa inapendekeza nyongeza ya Ksh.80.7 bilioni, huku jumla ya[Read More…]
Na Jacob Nateleng Baadhi ya wakazi wa kaunti ya Marsabit wamepongeza uteuzi wa Jumanne wa Kabale Tache Arero kuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi-NLC, nafasi ambayo ameshikilia kama kaimu kwa miaka mitano iliyopita. Wakiongozwa na kiongozi wa vijana katika eneo la Saku Abdi Boru wakazi hao[Read More…]
Na Isaac Waihenya Vijana wa klabu ya Soka ya Samba Boyz hapa mjini Marsabit wameirai jamii ya Marsabit pamoja na vilabu vingine kuwa katika mstari wa mbele kutoa damu ili kuokoa maisha ya wale wanaohitaji damu hiyo. Wakiongozwa na nahodha wao Siba Burcha vijana hao wametaja kwamba wamechukua jukumu la[Read More…]
Na Isaac Waihenya Huku ulimwengu ukiadhimidha siku ya kutoa damu duniani wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametakiwa kujitokeza kwa wingi ili kutoa damu. Kwa mujibu wa Afisa Mkuu Mtendaji katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Kussu Abduba ni kuwa kutoa damu kuna faida sio tu kwa wanaohitaji damu mbali pia[Read More…]
Na Samuel Kosgei Klabu ya Paris St-Germain iko tayari kumuuza Kylian Mbappe msimu huu wa joto badala ya hatari ya kumpoteza bila malipo katika muda wa mwaka mmoja, baada ya kuiambia klabu hiyo ya Ufaransa kuwa hataongeza mkataba wake. Mkataba wa sasa wa mchezaji huyo wa Ufaransa unamalizika mwishoni[Read More…]
Na Samuel Kosgei Rais William Ruto amesema kuwa serikali itamzawidi mwanariadha Faith Kipyegon, ambaye ana rekodi ya mita 1500M na 5000M duniani, kitita cha Ksh. 5 milioni kwa rekodi moja na nyumba yenye thamani ya Ksh. 6 milioni kwa rekodi nyingine. Akizungumza katika Ikulu ambapo alimkaribisha bingwa huyo, Rais Ruto[Read More…]
Na Adano Sharamo Viongozi wa Azimio sasa wanamtaka jaji mkuu Martha Koome kuingilia kati na kutatua mzozo wa kumuondoa mbunge maalum Sabina Chege kwenye wadhifa wa naibu wa kiranja wa wachache katika bunge la kitaifa. Azimio iliafikia uamuzi huo baada ya mpango wa kumuondoa Chege kupingwa na spika wa bunge[Read More…]