Featured Stories / News

President Kenyatta Encourages Young Kenyan Scientists To Step Up And Push The Country Into Global Stardom

By Statehouse President Uhuru Kenyatta has urged young Kenyan scientists to expend their energies wisely and remain focused so as to come up with cutting edge innovations that will help thrust Kenya into global scientific stardom. The President challenged the budding scientists, engineers and innovators to work towards entrenching Kenya’s[Read More…]

Seneti Kuandaa Kikao Siku Ya Jumatano Ili Kuamua Namna Hoja Ya Kumwondoa Mamlakani Gavana Sonko Itakavyoshughulikiwa.

  Picha; Hisani By Adano Sharawe, Bunge La Seneti Litaandaa Kikao Siku Ya Jumatano Ili Kuamua Namna Ambavyo Hoja Ya Kumwondoa Mamlakani Gavana Wa Nairobi Mike Sonko Itakavyoshughulikiwa. Spika Wa Bunge La Seneti Ken Lusaka Ameitisha Kikao Hicho Maalum, Na Amesema Kuwa Maseneta, Ambao Kwa Sasa Wako Likizoni, Watasikiza Malalamishi[Read More…]

Shule 6 Za Wanafunzi Wanaoishi Na Ulemavu Kaunti Ya Marsabit Kupewa Msaada Wa Kujikinga Dhidi Ya Maambukizi Ya Covid-19.

Picha; Hisani Na Adho Isacko, Huku Ulimwengu Ukiadhimisha Siku Ya Walemavu Hiyo Jana Sherehe Za Kila Mwaka Katika Kaunti Ya Marsabit Hazikufanyika Mwaka Huu Kwa Sababu Ya Mlipuko Wa Covid-19. Akizungumza Na Radio Jangwani Kwa Njia Ya Simu, Afisa Mkuu Wa Huduma Ya Watu Wenye Ulemavu Katika Kaunti Ya Marsabit[Read More…]

Wizara Ya Elimu Itawahusisha Wazazi Kabla Ya  Kutekelezwa Kwa Ongezeko La Karo Ya Vyuo Vikuu Nchini.- Waziri Maghoha

Picha; Hisani Na Waihenya Isaac Waziri Wa Elimu Profesa George Maghoha Ametaja Kuwa Kutakuwa Na Mazumguzo Na Kuwahusisha Wazazi Kabla Ya  Kutekelezwa Kwa Ongezeko La Karo Ya Vyuo Vikuu Nchini. Haya Yanajiri Siku Chache Tu Baada Ya Mpango Wa Kutaka Karo Za Vyuo Vikuu Kuongezwa Mara Tatu Zaidi Ya Ilivyo[Read More…]

Kinara Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Asema Kilichosalia Kwenye BBI Ni Mchuano Wa ‘Ndio Au La’.

Picha;Hisani. Na Samuel Kosgei, Kinara Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Amesema Kuwa Safari Ya Kufanyia Katiba Mageuzi Tayari Imeng’oa Nanga Na Hakuna Cha Kurejea Nyuma Tena Kwenye Mchakato Huo Tena. Odinga Akizungumza Alipokuwa Akipokezwa Saini Zote Zilizokusanywa Wiki Moja Iliyopita Ili Kufanikisha Marekebisho Ya Katiba Amesema Kuwa Wakti Wa Kukusanywa[Read More…]

Rais Kenyatta Awataka Magavana Kujiandaa Kikamilifu Kupambana Na Janga La Korona.

Na Waihenya Isaac, Rais Uhuru Kenyatta Amewataka Magavana Kujiandaa Kikamilifu Kupambana Na Janga La Korona Iwapo Janga Hili Linaweza Endelea Kutikisa Ulimwengu Kwa Kipindi Kirefu. Akizungumza Jijini Nairobi Wakati Wa Mpango Wa Magatuzi Kuimarisha Hali Ya Uchumi Nchini Kutokana  Na Adhari Ya Virusi Ya Korona Ambavyo Vimeadhiri Uchumi Wa Nchi,[Read More…]

Waziri Yatani Atangaza Ushuru Ulioshushwa Kudhibiti Janga La Corona Kurejea Kuanzia Januari 1, 2021.

Picha;Hisani Na Adano Sharawe, Waziri Wa Fedha Ukur Yatani Ametangaza Kuwa Ushuru Ulioshushwa Kudhibiti Janga La Corona Utarejea Katika Hali Ya Kawaida Kuanzia Januari 1, 2021. Hata Hivyo, Yattani Amesema Wale Wanaopokea Mshahara Wa Chini Ya Sh24, 000 Wataendelea Kufurahia Ushuru Wa Mapatao Uliopunguzwa Kwa Asilimia 100. Akizungumza Leo Jijini[Read More…]

Spika Wa Bunge La  Seneti Ken Lusaka  Kupokea Azimio La Bunge La Kaunti Ya Nairobi La Kumbandua Gavana Wa Nairobi Mike Sonko Mamlakani

Picha: Hisani By Waihenya Isaac, Spika Wa Bunge La  Seneti Ken Lusaka  Anatarajiwa Kupokea Azimio La Bunge La Kaunti Ya Nairobi Kupitisha Hoja Ya Kumuondoa Mamlakani Gavana Wa Nairobi Mike Sonko. Hii Ni Baada Ya Hoja Ya Kutokuwa Na Imani Na  Gavana Sonko Kupitishwa Hiyo Jana Ambapo Wakilishi Wadi  88[Read More…]

Subscribe to eNewsletter