Featured Stories / News

Wakenya wahamia kununua vitu vya bei rejareja kufuatia kupanda kwa bei

By Radio Jangwani Gharama ya maisha imesababisha watumiaji wa bidhaa kuanza kutumia bidhaa ya bei za chini ili kukidhi mahitaji yao ya kifedha. Kulingana na utafiti wa kampuni ya geopol, watu wengi wamepunguza idadi ya bidhaa wanazotumia, wengine wakiacha kununua bidhaa ambazo si za dharura. Wengi wamepunguza usafiri na kuanza[Read More…]

Jamaa afungwa jela miaka mitano pekee Marsabit kwa kosa la unajisi

Na Grace Gumato Mwanaume mmoja kutoka Loiyangalani amehukumiwa miaka 5 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12 mwaka uliopita. Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa mahakama ya Marsabit Simon Arome amesema mahakama imeridhishwa na ushahidi uliowasilishwa mbele yake kuwa mtuhumiwa alitekeleza unyama huo. Puna[Read More…]

Zaidi ya 80% ya watu wa Marsabit wanahitaji msaada wa dharura asema gavana Mohamud Ali

Na Samuel Kosgei Gavana wa Marsabit Mohamud Ali ameomba mashirika ya kibinafsi kuendeleza kwa miezi sita zaidi miradi ya kusaidia familia zinazokumbwa na athari za ukame Jimboni kipindi hiki cha ukame. Akizungumza alipopatana na washikadau wanaohusika na mikakati ya kupambana na majanga Jimboni (CSG) gavana Ali amekiri kuwa hali ya[Read More…]

Former accountant at the ministry of education convicted for fraud

By Machuki Dennson The Milimani Anti-Corruption Court has convicted former accountant at the Ministry of Education Christine Chacha, for fraudulently receiving KSh54,000 and falsely accounting for KSh3.3M, in 2009. The Court convicted Chacha for receiving KSh 54,000 purportedly used to pay accommodation for resource persons to facilitate a workshop held[Read More…]

Matata Tease New Album.

Kenyan music group Matata have teased their upcoming album,saying it will revolutionize the Kenyan music scene. On their Twitter account, the group gave fans a little snippet of what their upcoming project. “Our album is a masterpiece. We’re gonna change everything, Kenya is banking on us. This era in history[Read More…]

Subscribe to eNewsletter