Marsabit yatajwa kuwa miongoni mwa kaunti zinazokuwa kwa kasi kimaendeleo.
January 15, 2025
Watu watano wanadaiwa kufariki kutokana na maporomoko ya migodi ya Hilo eneo la Dabel Kaunti ndogo ya Moyale kaunti hii ya Marsabit Akithibitisha tukio hilo,chifu wa Dabel Ibrahim Dube amehoji kuwa watu watano wamethibitishwa kufariki na idadi ya watu isiojulikana ikiwa imefunikwa na Mchanga Katika migodi ya Hilo. Tukio hilo[Read More…]
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya haki za binadamu duniani watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Marsabit wamelalama kuwa bado wanazidi kudhulumiwa kijinsia huku vingi vya visa hivyo vikikosa kuripotiwa. Wakizungumza na Shajara ya Radio Jangwani wakiongozwa na Halima Osman, watu hao wanaoishi na ulemavu wametaja kwamba ipo hoja ya[Read More…]
Wakaazi wanaoishi karibu na Ziwa Turkana wadi ya Loiyangalani kaunti hii ya Marsabit wanazidi kutahadharishwa kujiepusha na kuvuka Ziwa kiholela bila mpangilio mwafaka ili kuepusha ajali ambazo ushuhudiwa mara nyingi msimu huu wa sherehe za krismasi. Afisa katika idara ya uvuvi kaunti ya Marsabit Sostine Nanjali ameambia shajara kuwa kuna[Read More…]
Wakaazi wa Marsabit watoa hisia zao kuhusiana na mzozo katika ya bunge na mahakama unaohusu IEBC… Baada ya kutibuka kwa mzozo kati ya Bunge na Mahakama kuhusu kucheleweshwa kwa uteuzi wa makamishina wa tume huru ya uchaguzi na mipaka(IEBC), wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusu suala hilo.[Read More…]
Mwandishi wa habari wa Radio Jangwani Isaac Waihenya ashinda tuzo katika tuzo za AGJK…. Mwandishi wa habari wa Radio Jangwani Isaac Waihenya, ameshinda tuzo ya Makala bora chini ya kitengo cha afya katika tuzo zilizotolewa na shirika la Association of grassroot journalist of Kenya AGJK iliyofanyika katika kaunti ya Mombasa[Read More…]
Wakaazi jimboni Marsabit wametakiwa kuripoti visa vyovyote vya uhalifu msimu huu wa sherehe za krismasi na mwaka mpya. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee OCPD wa Marsabit ya kati Edward Ndirangu amewataka wananchi kutoa taarifa zozote muhimu akisema kuwa hilo litasaidia katika kukabiliana na utovu wa usalama na[Read More…]
Afisa mmoja wa polisi wa kitengo cha idara ya ujasusi DCI ameuawa katika shambulizi la kigaidi katika eneo la Lafey, Kaunti ya Mandera. Magaidi hao wanaoaminika kuwa wanamgambo wa kundi haramu la Alshabaab walitekeleka shambulizi hilo mapema leo Jumatatu na kutoweka na gari mmoja la polisi. Mhudumu moja wa kituo[Read More…]
Mkumbo wa kwanza wa madarasa ya gredi ya 9 katika kaunti ya Marsabit umekamilika kwa asilimia 100 huku mkumbo wa pili ukiwa umekamilika kwa asilimia 56. Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ambaye amewataka wazazi kutokuwa na hofu kuhusiana na swala la[Read More…]
Mkurugenzi wa elimu kaunti ya Marsabit Peter Magiri, amesema kuwa serikali kupitia wizara ya elimu itawapa fursa Wasichana waliopata Watoto wakiwa shuleni fursa ya kuendelea na masomo yao ili kutimiza ndoto zao siku za usoni. Akizungumza kwenye mkao wa siku ya mwisho ya kufuzu kwa Wasichana 200 kwenye programu ya[Read More…]
Kuna haja ya kuelimisha wakazi wanaoishi karibu na Jangwa la Chalbi, jimboni Marsabit kuhusu umuhimu wa kupanda miti. Haya ni kwa mujibu wa naibu kamishna wa kaunti ndogo ya Maikona Pius Njeru Njeru amesema kuwa bado wakazi wanaoishi katika maeneo ya Chalbi hawajakumbatia mpango wa upanzi wa miti jambo ambalo[Read More…]