Featured Stories / News

Gachagua aapa kumfanya Ruto kuwa rais wa muhula mmoja

Na Samuel Kosgei ALIYEKUWA naibu wa rais Rigathi Gachagua ameendeleza mashambulizi ya maneno makali dhidi ya rais William Ruto akimtaja kama mtu mrongo na asiyefaa kuongoza taifa hili muhula mwingine. Gachagua akizungumza kwa kejeli kwenye hafla ya kufunguliwa kwa ofisi kuu ya chama cha DAP-K kinachoongozwa na Eugene Wamalwa amesema[Read More…]

Wafugaji Marsabit waonywa dhidi ya kuwasha moto msimu huu wa kiangazi.

Na Carol Waforo Tahadhari ya moto wa nyika imetolewa kaunti ya Marsabit haswa msimu huu wa kiangazi ambao tayari ulianza kushuhudiwa tangu mwishoni mwa mwaka jana 2024. Ni tahadhari ambayo imetolewa na mhifadhi wa msitu wa Marsabit Mark Lenguro ambaye amezungumza na shajara ya radio jangwani afisini mwake. Lenguro amewaonywa[Read More…]

Wafugaji jimboni Marsabit wahimizwa kuwapeleka wanao shuleni.

Huku muhula wa kwanza katika kalenda ya masomo ukiendelea wafugaji jimboni Marsabit wamehimizwa kuwapeleka wanao shuleni. Ni himizo ambalo limetolewa na mhifadhi wa msitu wa Marsabit Mark Lenguro ambaye anasema kuwa baadhi ya wafugaji wanawanyima watoto haki yao ya kupata elimu kwa kuwapa majukumu nyumbani. Serikali imekuwa ikisisitiza haja ya[Read More…]

Waliohusika katika mauaji ya watoto mapacha huko Dololo kuzuiliwa kwa siku 14, kuruhusu uchunguzi…

Na Waandishi Wetu Mahakama ya Marsabit imeagiza kufukuliwa na kufanyiwa upasuaji, miili ya watoto mapacha waliouawa katika kijiji cha Dololo Boji kaunti ndogo ya Dukana katika kaunti ya Marsabit. Ni agizo ambalo limetolewa na hakimu mwandamizi wa mahakama ya Marsabit, Simon Arome ambaye ameagiza shughuli hiyo kufanyika katika muda wa[Read More…]

Kituo cha kuvutia watalii cha Illeret Footprint chazinduliwa rasmi.

Wito umetolewa kwa wakaazi wa Marsabit kutembelea vituo mbalimbali vya watalii hapa jimboni ili kuimarisha uchumi wa jimbo. Kwa mujibu wa waziri wa jinsia na utalii katika kaunti ya Marsabit, Jeremiah Lendanyi, ni kuwa kaunti ya Marsabit ina vivutio vingi vya watalii na ambavyo vinaweza kuimarisha uchumi wa jimbo hili,[Read More…]

Subscribe to eNewsletter