MOHAMED NANE AMEWEKA WAZI SABABU YA KUSUSIA UCHANGUZI WA LEO.
November 14, 2024
Na Silvio Nangori Watu 25 wameaga dunia mwaka huu huku 32 wakisalia na majeraha kutokana na wizi wa mifugo kati ya wafugaji wa Kaunti za Samburu,Isiolo,Marsabit na Meru. Akizungumza katika hafla iliyowaleta pamoja jamii mbali mbali katika hifadhi la NRT kutoka kaunti hizo, meneja wa masuala ya amani katika shirika[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Naima Abdulahi, Onyo kali limetolewa kwa vijana wanaoendeleza wizi katika boma za watu hapa mjini Marsabit na vyunga vyake. Akitoa onyo hilo chifu wa Marsabit mjini Hussein Charfi amewatahadharisha vijana waneoenedeleza kasumba hiyo kuwa watachukuliwa hatua kali za kisheria. Chifu Charfi aliyezungumza na shajara ya Radio[Read More…]
Na JB Nateleng, Huenda kukashuhudiwa uhaba wa chakula katika kaunti ya Marsabit baada ya wakulima wengi kukadiria hasara ya mavuno wakati wa mvua fupi ya mwezi Aprili. Kulingana na Dub Nura ambaye ni Afisa wa kilimo katika kaunti ndogo ya Saku ni kuwa mavuno ya msimu huu hayawezi yakakimu mahitaji[Read More…]
NA Samuel Kosgei Serikali imetangaza upya uwepo wa marufuku ya siku 30 kwenye migodi 13 ya dhahabu iliyo eneo la Hillo, lokesheni ya Dabel eneobunge la Moyale kaunti hii ya Marsabit ikitaja maeneo hayo kuwa hatari na inayotishia. Kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau amekariri notisi ya kaimu[Read More…]
Na huku vijana wakiendelea kujipanga kwa ajili maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana serikali ya kaunti ya Marsabit kupitia idara ya michezo na maswala ya vijana imesema kuwa imepanga hafla mbalimbali kwa ajili ya siku hiyo. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani afisini mwake kaimu mkurugenzi wa idara hiyo Daud[Read More…]
Na Samuel Kosgei Viongozi wa kidini bado wanarai vijana kote nchini wametakiwa kusitisha mpango wao wa maandamano uliopangiwa kufanyika Alhamisi ya tarehe 8 mwezi huu ikiwa ni shinikizo ya kumtaka rais Ruto kujiengeua mamlakani. Viongozi hao wa kidini wakiongozwa na imam wa Msikiti wa Jamia hapa mjini Marsabit Mohammed Noor[Read More…]
Na Ebinet Apiyo, Baada ya kinara wa upinzani nchini Raila Odinga kuonekana kufanya kazi na serekali na baadhi ya wanachama wa ODM kuteuliwa kama mawaziri, wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na iwapo kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka anatosha kushikilia wadhifa wa kinara wa upinzani nchini. Baadhi[Read More…]
Na JB Nateleng Dhulma za kijinsia na maswala ya unyanyapaa yametajwa kuwa sababu kuu inapelekea watoto wengi katika kaunti ya Marsabit kuweza kuadhirika kiakili. Kulingana na Victor Karani ambaye ni afisa anayeshughulikia maswala ya afya ya akili katika hospitali ya rufaa ya Marsabit ni kuwa watoto wengi jimboni wanakataa kuripoti[Read More…]
NA LELO WAKO NA JOB KOROWA Mratibu wa maswala ya watoto katika parokia ya Marsabit Sisiter Agatha Gatimu ameeleza kuwa kanisa lina mpango wa kuwafunza watoto kanisani na kuwashughulisha katika mashindano tofauti haswa wakati huu wa likizo ya muhula wa pili. Akizungumza na idhaa hii Sisiter Agatha ameeleza kuwa zoezi[Read More…]
Na Lelo Wako & Elias Jalle, Vijana katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kutumia wiki ya vijana kuonyesha talanta zao na vipaji walivyo navyo. Wakiongozwa spika wa bunge la vijana Saku Youth Assembly Abdiaziz Boru, vijana hao wamewataka vijana wenzao kujiunga nao wiki ijayo katika wiki ya vijana ili kuonyesha vipaji[Read More…]