Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
IDARA ya utabiri wa hali ya hewa kaunti ya Marsabit imesema kuwa rasha rasha za mvua wakati wa asubuhi, mchana na hata usiku zinatarajiwa katika sehemu kadhaa za jimbo la Marsabit kuanzia leo November 12 – 18th mwaka huu. Wakati huo imetabiri kuwa mvua kubwa huenda zikapokelewa katika baadhi ya sehemu[Read More…]
Muaniaji wa nafasi ya mwenyekiti wa shirilikisho la mpira wa miguu FKF tawi la Marsabit Godana Roba Adi amekanusha madai kuwa amewashawishi wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya Simu, Godana ametaja kwamba amefuata mikakati yote inayofaa katika kusaka uungwaji mkono kwenye[Read More…]
Wakaazi wa eneo la Funan Qumbi, lokesheni ya Rawana, kaunti ndogo ya Sololo eneo bunge ya Moyale kaunti ya Marsabit wamelalamikia hatua ya serekali ya kaunti ya Marsabit kutowafikishia tanki 14 za maji ambazo zilikuwa zimeratibiwa kupelekwa katika eneo hilo. Wakiwakilishwa na Galm Sora ambaye ni mwenyekiti wa vijana katika[Read More…]
Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujikinga na baridi ili kujiepusha na magonjwa yanayosababishwa na baridi. Haya ni Kwa mujibu wa Bonsa Doti ambaye ni muuguzi wa afya katika hospitali ya rufaa ya Marsabit. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani afisini mwake, Doti amesema kuwa ni muhimu kujizuia baridi kwa[Read More…]
Visa vya utapiamlo vimeongeka hadi asilimia 15.2 kutoka 13.5 katika kaunti hii ya Marsabit. Ongezeko hili likiwa ni kutoka mwezi wa Julai hadi mwezi septemba mwaka huu kulingana na deta za mamlaka ya kukabiliana na ukame NDMA. Kulingana na afisa mkuu wa lishe bora katika kaunti ya Marsabit David Buke,[Read More…]
Wahamiaji haramu 23 raia wa Eritrea wamefikishwa katika mahakama ya Marsabit kwa mashtaka ya kupatikana nchini bila shtakabadhi za kuwaruhusu kuwa nchini. Wahamiaji hao walikamatwa na maafisa wa polisi katika eneo la manyatta Karatasi eneo bunge la Saku Kaunti hii ya Marsabit. Miongoni mwa wahamiaji hao ni wanaumme 19 na[Read More…]
Mashirika yasiyo ya kiserikali yamehimizwa kuwasaidia watoto wakati wa likizo kwa kuandaa mchezo ili kusaidia watoto wajiepushe na mihadarati. Akizungumza na idhaa hii Evana Esokon ambaye ni msimamizi wa shirika la Loyangalani Spring Of Hope ni kuwa wakati wa likizo ndefu watoto wengi wanajihusisha na mambo ambayo hayafai kama vile[Read More…]
Ni afueni kwa watu wanaoishi na Ulemavu katika kaunti ya Marsabit baada ya senEta wa kaunti hii Mohamed Chute akishirikiana na mbunge wa Sakuu Ali Raso kuwapa vifaa vya kuwasaidia. Kwa mujibu wa mshirikishi katika ofisi mbunge wa Saku Bonaya Doti ni kuwa walemavu wengi wamebahati kupata vitu kadhaa kama[Read More…]
Watu 23 raia wa Eritrea walikamatwa hiyo jana katika kaunti ya Marsabit kwa kuwa humu nchini bila stakabadhi hitajika. 23 hao wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Marsabit wakisubiri kufikishwa mahakamani. Kulingana na kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau idara ya usalama jimboni imewakamata wahamiaji 120 bila stakabadhi hitajika[Read More…]
Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kutotupa takataka ovyo ovyo bila idhini ya manispaa ya Marsabit. Ni hamasisho ambayo imetolewa na mkurugenzi katika manispaa ya mji wa Marsabit Boru Golicha. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee golicha amesema wakati huu ambao msimu ya mvua unatarajiwa, kutupa taka ovyo[Read More…]