October 30, 2024
VIONGOZI WA KIDINI MARSABIT WAZIDI KUKASHIFU ONGEZEKO LA MAPENZI YA JINSIA MOJA NCHINI.
Na Lelo Wako Viongozi wa kidini mjini Marsabit wamekashifu kuenea kwa uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja na visa vya ukahaba haswa miongoni mwa vijana. Msimamizi wa kanisa la katoliki parokia ya cathedral, Padri Tito Makhoha amekashifu uhusiano aina hiyo huku akiwaomba vijana wasishinikizwe katika kushiriki uhusiano wa jinsia moja.[Read More…]