Viongozi wa kidini wakemea kisa cha mauaji ya mapacha Dukana, Marsabit
January 24, 2025
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwa wangalifu kipindi hichi likizo ili kuhakikisha kwamba wanao hawajiingizi katika utumizi wa mihadarati. Kwa mujibu wa mwalimu Sarah Wanyeki ni kuwa ni jukumu la wazazi kujua waliko wanao kipindi cha likizo ili wasije wakajihisisha na maovu. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa[Read More…]
Wakaazi wa Marsabit wamehimizwa kutumia bima ya mifugo ilikuepukana na athari ya janga la ukame ,hii ni kwa mujibu wa afisa wa uhusiano mwema katika idara ya mifugo Asha Galgallo Akizungumza na idha hii afisini mwake Galgalo amesema kuwa kwa sasa Watu elfu nane wamejisajili tangu bima hiyo kuanza lakini[Read More…]
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kutowaficha watoto wanaoishi na ulemavu na badala yake kuwapeleka shule ili wapate elimu. Kwa mujibu wa mshiriki wa baraza la watu wanaoishi na ulemavu (NCPWD) kaunti ya Marsabit Ahmed Abdi,ni kuwa watoto wanaoishi na ulemavu wanafaa kupewa haki sawa na wale wengine. Akizungumza na[Read More…]
Huku baadhi ya wakaazi jimboni Marsabit wakilalama ukosefu wa chakula, serikali inatarajiwa kuzindua mradi wa kukabiliana na ukame katika maeneo ya kaskazini mwa nchini yaani Drought Resilience Programme in Northern Kenya, hapo kesho katika kaunti ndogo ya Sololo kaunti ya Marsabit. Kulingana na mratibu wa mradi huo Daniel Odero aliyezungumza na shajara[Read More…]
Asilimia 90 ya watoto ambao wapo chini ya umri wa mwaka mmoja wako katika hatari ya kukumbwa na hali ya kifo cha ghafla (SIDS) iwapo wazazi hawatamakinika katika malezi. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa kliniki ya Watoto katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Galm Wako. Akizungumza na idhaa[Read More…]
Wakaazi wa Marsabit wamehakikishiwa kuwa bima ya afya ya SHIF inafanya kazi ipasvyo. Akizungumza na idhaa hii alipokuwa akizuru hospitali ya rufaa ya Marsabit maneja wa mamlaka hiyo ya afya ya jamii (SHA) Lawrence Mutuma amewahakikishia wakaazi kuwa wagonjwa wa figo wanapata hudumu ipaswavyo kando na changamoto ya kujisajili na[Read More…]
SERIKALI ya kitaifa imetakiwa kushughulikia kwa haraka ukosefu wa chakula na njaa inayokumba wananchi katika sehemu nyingi za kaunti ya Marsabit kutokana na ukosefu wa mvua iliofeli msimu wa upanzi. Mwakilishi wadi wa Korr/Ngurnit Daud Tomasot ameambia shajara ya radio jangwani kuwa sehemu nyingi za jimbo la Marsabit kwa sasa[Read More…]
Wazazi katika kaunti ya Marsabit wameshauriwa kutolegeza kamba kwa wanao haswa msimu huu wa likizo ili kuzuia wasichana kupata mimba za utotoni. Kwa mujibu wa afisa wa watoto katika kaunti ya Marsabit, Abudho Roba ni kuwa baadhi ya mimba za mapema kwa wasichana zinaweza epukika iwapo wazazi watatekeleza majukumu yao[Read More…]
Wahudumu wa afya wa kujitolea CHPs katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wametishia kuandamana iwapo serekali ya kaunti haitawalipa mishahara yao wa miezi minne. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani wametaja kuwa hawajapokea mishahara ya mwezi Julai,Agosti,Septemba na Oktoba mwaka huu. Wametaja kwamba hilo linalemaza kazi[Read More…]
Idadi ya vijana wanaoambukizwa virusi vya Ukimwi kaunti ya Marsabit inazidi kuongezeka. Haya ni kwa mujibu wa mtetezi wa watu wanaoishii na virusi vya ukimwi jimboni Marsabit Mwalimu Qabale Tache. Akizungmza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya kipekee, Qabale amesema kuwa hali hiyo imechangiwa na ukosefu wa hamsa[Read More…]