Editorial

WAKAAZI WA MARSABIT WAHAKIKISHIWA KUWA BIMA YA AFYA YA SHIF INATUMIKA.

Wakaazi  wa Marsabit wamehakikishiwa kuwa bima ya afya ya SHIF inafanya kazi ipasvyo. Akizungumza na idhaa hii alipokuwa akizuru hospitali ya rufaa ya Marsabit maneja wa mamlaka hiyo ya afya ya jamii (SHA) Lawrence Mutuma amewahakikishia wakaazi kuwa wagonjwa wa figo wanapata hudumu ipaswavyo kando na changamoto ya kujisajili na[Read More…]

Read More

WAZAZI KAUNTI YA MARSABIT WAMESHAURIWA KUTOLEGEZA KAMBA KWA WANAO ILI KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI.

Wazazi katika kaunti ya Marsabit wameshauriwa kutolegeza kamba kwa wanao haswa msimu huu wa likizo ili kuzuia wasichana kupata mimba za utotoni. Kwa mujibu wa afisa wa watoto katika kaunti ya Marsabit, Abudho Roba ni kuwa baadhi ya mimba za mapema kwa wasichana zinaweza epukika iwapo wazazi watatekeleza majukumu yao[Read More…]

Read More

WAHUDUMU WA AFYA WA KUJITOLEA CHPS WAMETISHIA KUANDAMANA IWAPO SEREKALI YA KAUNTI HAITAWALIPA MISHAHARA YAO WA MIEZI MINNE.

Wahudumu wa afya wa kujitolea CHPs katika eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit wametishia kuandamana iwapo serekali ya kaunti haitawalipa mishahara yao wa miezi minne. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya Radio Jangwani wametaja kuwa hawajapokea mishahara ya mwezi Julai,Agosti,Septemba na Oktoba mwaka huu. Wametaja kwamba hilo linalemaza kazi[Read More…]

Read More

HOFU HUKU IDADI YA VIJANA WANAOAMBUKIZWA VIRUSI VYA UKIMWI KAUNTI YA MARSABIT IKIONGEZEKA.

Idadi ya vijana wanaoambukizwa virusi vya Ukimwi kaunti ya Marsabit inazidi kuongezeka. Haya ni kwa mujibu wa mtetezi wa watu wanaoishii na virusi vya ukimwi jimboni Marsabit Mwalimu Qabale Tache. Akizungmza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya kipekee, Qabale amesema kuwa hali hiyo imechangiwa na ukosefu wa hamsa[Read More…]

Read More

Wananchi wa Marsabit watakiwa kukumbatia utumizi wa meko ya kisasa kupikia.

Baadhi ya wakaazi wa Marsabit wamepewa mafunzo  kuhusu namna ya kutumia meko ya kisasa kupikia chakula ikiwa ni lengo mojawapo ya  taifa la Kenya kufikia asilimia 100 ifikapo 2028 katika kupika na meko yenye kukabili hewa chafu. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee afisini mwake mkurugenzi mkuu katika[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA KAUNTI YA MARSABIT WAMESIFIA MATUMIZI YA MITANDAO KATIKA JAMII.

Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wamesifia matumizi ya mitandao katika jamii kwa kusema kuwa inasaidia kuwaunganisha na wapendwa wao na kuwajuza yanayojiri katika maeneo tofauti duniani. Baadhi ya waliozungumza na Shajara Ya Radio Jangwani, wamesema kuwa mtandao unasaidia pakuwa katika kuelimisha jamii na kuwataatharisha kuhusiana na mabadiliko ya tabia nchi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter