Diocese of Marsabit

Warsha ya siku tatu ya kutoa mafunzo ya kidini kwa walimu wa watoto wa kanisa katoliki PMC yangoa Nanga.

By Waihenya  & Qabale, Warsha ya siku tatu ya kutoa mafunzo ya kidini kwa walimu wa watoto wa kanisa katoliki PMC katika jimbo la Marsabit imengoa nanga rasmi hii leo. Warsha hiyo ambayo inaongozwa na mratibu wa maswala ya vijana katika kanisa katolika jimboni Marsabit Sister Agatha Katuma Mativo inapania[Read More…]

Read More

Inter Faith Marsabit yakashifu vikali mauaji yanayoshuhudiwa hapa jimboni.

By Silvio Nagori, Baraza la madhehebu mbali mbali tawi la Marsabit limekashifu vikali mauaji yanaendelea kushuhudiwa hapa jimboni. Wakizungumza na waandishi wa habari hapa mjini Marsabit viongozi hao wamewataka wananchi kutolipiza kisasi jambo ambalo wamesema  kuwa linachangia katika vurugu za mara kwa mara. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Askofu wa jimbo[Read More…]

Read More

Kamishna Paul Rotich Awahakikishia Wakaazi Wa Kaunti Ya Marsabit Usalama Wa Kutosha.

By Waihenya Isaac Kamishna wa kaunti ya Marsabit Paul Rotich amewahakikishia wakaazi wa kaunti ya Marsabit usalama wa kutosha. Akizungumza wakti wa Uzinduzi wa shihena ya Chakula cha msaada Kutoka kwa shirika la msaba mwekunduku uliofanyaika hapa mjini Marsabit,Kamishna Rotich ametaja kuwa serekali inafanya kila jitihada ili kuondoa kero la[Read More…]

Read More

Serikali ya Marsabit Yaitelekeza zahanati ya Toricha iliyojengwa na kusalia magofu

By Guyo Godana. NA Guyo Godana Wakaazi wa eneo la Toricha katika wadi ya Maikona, wamelalamikia kusahaulika n ahata kutelekezwa na serikali ya kaunti ya Marsabit. Wenyeji hao wakiszungumza na Radio Jangwani wanasema kwamba zahanati ilijengwa katika eneo hilo miaka mitano iliyopita ila kufikia sasa hawajaona matunda yoyote ya zahanati[Read More…]

Read More

Gavana wa Marsabit Mohammud Ali amesema Idara ya usalama katika kaunti ya Marsabit ina mapendeleo

By Samuel Kosgei, Gavana wa Marsabit Mohammud Ali amekashifu vikali Idara ya usalama katika kaunti ya Marsabit kwa madai ya kuzembea kazini na kuchangia kudumu kwa machafuko na mauaji ya kila mara katika jimbo la Marsabit. Akizungumza katika hafla ya kuzindua kliniki ya saratani katika hospitali kuu ya Marsabit, Ali[Read More…]

Read More

Afueni Kwa Wakaazi Wa Jimbo La Marsabit Haswa Wanaougua Ugonjwa Wa Saratani Baada Ya Kliniki Ya Kuchunguza Na Kutoa Ushauri Kwa Kero La Saratani Kuzinduliwa Rasmi Hii Leo.

By Samuel Kosgei, Huenda ikawa afueni kwa wakaazi wa jimbo la Marsabit haswa kwa wale wanaougua ugonjwa wa saratani baada ya kliniki ya kuchunguza na kutoa ushauri kwa kero la saratani kuzinduliwa rasmi hii leo. Shughuli ya uzinduzi huo imeongozwa na Gavana Mohamoud Ali. Mama kaunti Alamitu Jattani ambaye ndiye[Read More…]

Read More

Wawakilishi Wadi Wa Kaunti Ya Marsabit Wameteta Sababu Zao Kupitisha Mswada Wa BBI.

By Samuel Kosgei, WAWAKILISHI Wadi wa kaunti ya Marsabit wameteta sababu zao kupitisha mswada wa kubadilisha katiba mwaka wa 2020 wakidai kuwa ni mswada mzuri kwa wakaazi wa marsabit ikizingatiwa kuwa kaunti nyingi imechangamkia mchakao huo wa BBI. Wakizungumza nje ya bunge lao MCAs hao wakiongozwa na kiongozi wa wengi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter