Diocese of Marsabit

ZAIDI YA WATU 20 WAADHIRIKA NA UGONJWA WA UPELE MAARUFU SCABIES KATIKA KIJIJI CHA BURURI,MOYALE KAUNTI YA MARSABIT.

Na Isaac Waihenya, Wakaazi katika kijiji cha Bururi eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit wameitaka idara ya afya hapa jimboni kutuma msaada wa kimatibabu katika eneo hilo ili kushughulikia ugonjwa unaokisiwa kuwa ni Upele maarufu Scabies. Wakizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya simu wakaazi hao wametaja kwamba tayari[Read More…]

Read More

Pokonya Wananchi Wote Silaha Haramu – Askofu Dominic Kimengich Atoa Wito Kwa Serekali.

Na Isaac Waihenya, Serekali imetakiwa kutwa silaha haramu zinazomilikiwa na wenyeji katika eneo la Keiyo Valley linalokumbwa na changamoto ya wizi wa mifugo ili Amani idumu katika sehemu hiyo. Wito huo umetolewa na askofu wa kanisa katoliki katika dayosisi ya Eldoret Dominic Kimengich. Akizungunza na vyombo vya habari Askofu Kimengich[Read More…]

Read More

Askofu Peter Kihara Apiga Marufuku Mikutano Yote ya Kisiasa Katika Uwanja na Ukumbi wa Kanisa Katoliki Mjini Marsabit

  Na Samuel Kosgei Askofu wa kanisa katoliki jimbo la Marsabit Peter Kihara amepiga marufuku mikutano yote ya kisiasa kufanyika katika uwanja na ukumbi wa kanisa Katoliki mjini Marsabit. Akizungumza alipoongoza misa ya sherehe ya Maria Consolata katika kathidrali ya Marsabit, Askofu Kihara alisema kuwa wema na ukarimu ambao umefanyiwa[Read More…]

Read More

Askofu Peter Kihara Awashauri Wanafunzi Kaunti ya Marsabit Dhidi ya Wizi wa Mitihani

Na John Bosco Nateleng Askofu wa Jimbo hili askofu Peter Kihara amewashauri wanafunzi dhidi ya kujihusisha na wizi wa mitihani. Akihutubu katika shule ya wasichana ya Bishop Cavallera huko Karare wakati wa hafla ya kuwazawadi wanafunzi waliofanya vyema katika mtihani wa KCSE mwaka jana, askofu Kihara alisema kwamba ni sharti[Read More…]

Read More

Shule 26 katika kaunti ya Marsabit zitanufaika na mradi unaoendeshwa na wizara ya elimu wa kuboresha shule mbambali hapa nchini (SEQIP).

Na Isaac Waihenya na John Bosco, Shule 26 katika kaunti ya Marsabit zitanufaika na mradi unaoendeshwa na wizara ya elimu wa kuboresha shule mbambali hapa nchini (SEQIP). Kwa mujibu wa msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ni kuwa shule 14 kutoka eneo bunge[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter