Diocese of Marsabit

VIJANA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT WAMETAKIWA KUCHUKUA MIKOPO YA KUANZISHA BIASHARA BADALA YA KUTEGEMEA KUJIARIWA PEKEE

Na Isaac Waihenya, Vijana katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiunga na biashara badala ya kutegemea kujiariwa. Kwa mujibu wa mmoja wa wakurugenzi wa chama cha wafanyibiashara KNCCI Tawi la Marsabit Joseph Gubo ni kuwa vijana wanafaa kuangazia kujiari badala ya kuajiriwa ili kuhakikisha kwamba wanatatua swala la ukosefu wa ajiri[Read More…]

Read More
photo courtesy

DHULMA ZA KIJINSIA, MIHADARATI NA HATA UGUMU WA MAISHA YATAJWA KAMA MASWALA YANAYOCHANGIA ONGEZEKO LA IDADI YA WATU WANAOUGUA MARADHI YA AFYA YA AKILI.

Na Isaac Waihenya, Wahudumu wa afya wa nyajani (CHPs) pamoja na wahudumu wa afya wasaididi (CHAs) waitaja dhulma za kijinsia, mihadarati na hata ugumu wa maisha kama maswala yanayochangia ongezeko la idadi ya watu wanaougua maradhi ya afya ya akili. Wakizungumza na vyombo vya habari wahudumu hao wa afya wakiongozwa na[Read More…]

Read More

HUDUMA ZA MATIBABU KATIKA HOSPITALI ZA UMMA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT KUZOROTEKA ZAIDI BAADA YA WAHUDUMU WA MAABARA KUANZA RASMI MGOMO WAO USIKU WA KUAMKIA LEO JUMATANO.

Na Caroline Waforo, Huduma za matibabu katika hospitali za umma katika kaunti ya Marsabit zinataendelea kuathirika hata zaidi baada ya wahudumu wa maabara kuanza rasmi mgomo wao usiku wa kuamkia leo jumatano. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani kwa njia ya simu katibu wa muungano wa wahudumu wa maabara Barako[Read More…]

Read More

CLIMATE OUTLOOK FOR MARSABIT COUNTY: OCTOBER-NOVEMBER-DECEMBER 2024

BY ELIAS JALLE As we approach the October-November-December (OND) 2024 “Short Rains” season, the Kenya Meteorological Department has released a detailed climate outlook for Marsabit County. This season is crucial for the region, particularly for agriculture and water resources, and understanding the forecast is essential for local communities and stakeholders.[Read More…]

Read More

MWANAME MMOJA KATIKA KAUNTI YA MARSABIT AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA KWA KOSA LA KUHARIBU MALI YA DHAMANA YA SHILINGI 15,000.

Na Talaso Huka. Mahakama ya Marsabit imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja au bodi ya shilingi 100,000 mwanaume mwenye umri wa makamu kwa kosa la kuharibu mali ya dhamana ya shilingi 15,000. Akitoa uamuzi huo hakimu Christine Wekesa amempata mstakiwa Hassan Duba na makosa ya kuharibu mali ya Dida Kara tarehe[Read More…]

Read More

JAMII YA MARSABIT YATAKIWA KUWALINDA WANYAMAPORI PAMOJA NA MAZINGIRA ILI KUZUIA MIZOZO KATI YA WANADAMU NA WANYAMAPORI

NA ISAAC WAIHENYA Jamii ya Marsabit imetakiwa kuwalinda wanyamapori pamoja na mazingira ili kuzuia mizozo kati ya wanadamu na wanayamapori. Kwa mujibu wa mratibu wa maswala ya mazingira Justus Nyamu ni kuwa japo kaunti ya Marsabit haijaripoti visa vya uwindaji haramu ila bado ipo hoja ya kuhifadhi wanyama pori hao.[Read More…]

Read More

POLISI MJINI MARSABIT WAMTIA MBARONI MWANAMKE MMOJA NA LITA 23 ZA CHANGAA KATIKA ENEO LA MABATINI LOKESHENI YA NAGAYO KAUNTI YA MARSABIT.

Na Caroline Waforo, Mwanamke moja mwenye umri wa miaka 48 amekamatwa na lita 23 za changaa katika eneo la mabatini Lokesheni ya Nagayo kaunti ya Marsabit. Mwanamke huyo ambaye amekamatwa mara kadhaa na kuachiliwa hii ikiwa mara ya nne anaendelea kuzuiliwa na anatarajiwa kufikishwa mahakamani jumanne wiki ijayo. Kulingana na[Read More…]

Read More

IDARA YA USALAMA MJINI MARSABIT YAPIGA MARUFUKU HUDUMA ZA BODABODA MASAA YA USIKU.

Na Caroline Waforo, Idara ya usalama mjini Marsabit imepiga marufuku huduma za bodaboda masaa ya usiku. Kulingana na OCS wa Marsabit Central Edward Mabonga marufuku hiyo inatekelezwa kuanzi saa tano usiku hadi saa kumi asubuhi. Hii ni katika jitihada za kuimarsha usalama wa kutosha mjini Marsabit kufuatia kuongezeka kwa visa[Read More…]

Read More

WAADISHI WA HABARI WATAKIWA KUFUNGUKA KUHUSIANA NA MASWALA YANAYOWADHIRI ILI KUZUIA KUKUMBWA NA MSONGO WA MAWAZO.

Na Isaac Waihenya, Waadishi wa habari hapa jimboni Marsabit wametakiwa kufunguka kuhusiana na maswala yanayowadhiri ili kujizuia dhidi ya msongo wa mawazo. Kwa mujibu wa mwanahabari Abraham Dale ambaye kwa sasa anafanaya kazi na shirika lisilo la kiserekali la MWADO ni kuwa muda mwingi wanahabari hukosa kuzungumza kuhusiana na yale[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter