Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
Na Naima Abdullahi & Kame Wario, Mwanamume moja mwenye umri wa makamu ameiaga dunia leo hii baada ya kugongwa na gari katika eneo la kiwanja ndege viungani vya mji wa Marsabit. Inaarifiwa kuwa mwanaume huyo alikuwa kando mwa barabara kwa nia ya kuvuka barabara wakati gari la kibinafsi lilokuwa likitoka[Read More…]
Na Naima Abdullahi & JB Nateleng, Dawa za kienyeji huenda zikawa za manufaa iwapo madaktari wa kienyeji watakaguliwa na kutathminiwa na idara husika kwa manufaa ya wanaoitumia. Haya ni kwa mujibu wa daktari Adan Abdullahi ambaye ni mtaalam wa dawa katika hospitali ya rufaa ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Abdilaziz Abdi, Angalau asilimia 95 ya madarasa ya gredi ya 9 katika shule za msingi sekondari JSS kaunti ya Marsabit yamekamilika Haya yamewekwa wazi na mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani ofisini mwake Magiri amesema kuwa ni[Read More…]
Na JB Nateleng & Isaac Waihenya Idara ya elimu katika kaunti ya Marsabit imesema kuwa shule msingi ya El Molo bay iliyo katika wadi ya Loiyangalani kaunti ya Marsabit itahamishwa hivi karibuni. Haya ni kulingana na mkrugenzi wa elimu jimboni Marsabit Peter Magiri. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya[Read More…]
Na Caroline Waforo, Wakaazi jimboni Marsabit wamehimizwa kujisajili kwa bima mpya ya SHIF. Ni wito ambao umetolewa na naibu kamishna wa Marsabit ya kati David Saruni ambaye amezungumza na Shajara Ya Radio Jangwani. Kulingana na Saruni bima hii mpya ya afya itawawezesha wananchi wote kupata matibabu ya bure. Saruni amewataka[Read More…]
Na Talaso Huka & Abdilaziz Abdi, Mwanaumme mmoja mwenye umri wa makamu amefikishwa mbele ya mahakama ya Marsabit kwa kosa la wizi. Mahakama imearifiwa kuwa mshukiwa Galgallo Boru Dida ambaye ni agenti wa chama cha ushirika cha shirika la FH la kati ya mwezi oktoba mwaka wa 2017 na Septemba mwaka[Read More…]
Na JB Nateleng & Naima Abdullahi Mwanamke mmoja mwenye umri wa makamu amejitia kitanzi nyumbani kwao katika kijiji cha Manyatta shrine, eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit Akithibitisha kisa hicho Kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Marsabit ya kati, Edward Ndirangu amesema kuwa kisa hichi kilijiri Jana saa mbili[Read More…]
Na Talaso Huka, Swala la ukame jimboni lilichangia pakubwa katika kuongeza kwa visa vya dhulma za kijinsia. Haya amekaririwa na waziri wa jinsia katika kaunti ya Marsabit Jeremiah Ledanyi. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya kipekee waziri Ledanyi ametaja kwamba wafugaji walipoteza mifugo kutokana na ukame jambo lilipelekea wengi[Read More…]
Na Caroline Waforo, Raia wawili wa Ethiopia na mkenya moja wameshtakiwa katika mahakama ya Marsabit kwa mashtaka kadhaa ikiwemo kumiliki silaha haramu. Washukiwa hao ambao wanajumuisha mkenya Roba Sora almaarufu Kolo, raia wa Ethiopia Rob Jarso almaarufu Salo pamoja na Galgallo Boro almaarufu Halkano walikamatwa tarehe 15 mwezi Oktoba mwaka[Read More…]
Na JB Nateleng, Kufuatia agizo la serekali la kuwaruhusu wakenya kutembelea mbuga za Wanyama bila malipo jumamosi hii, shirika la wanyamapori (KWS) Marsabit limewashauri wananchi kuchukua fursa hii na kutembelea mbuga mbalimbali za Wanyama hapa jimboni. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya Kipekee, msimamizi wa Mbuga za wanyama pori[Read More…]