Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
County updates, notifications, news from the Marsabit County
By Waihenya Isaac, Mtoto aliyeokolewa na maafisa wa polisi katika shimo la choo,jumamosi wiki jana yuko salama na anaendelea vyema. Kwa mujibu wa afisa mkuu katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Liban Wako ni kwamba mtoto huyo wa wiki moja aliokolewa na maafisa wa polisi Katika choo kimoja hapa[Read More…]
By Isaac Waihenya, Mkugenzi katika idara ya kilimo katika kaunti ya Marsabit Julius Gitu amesema kilimo kwenye kaunti ya Marsabit kimeadhirika kwa kiwango kikubwa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Kwa mujibu wa Gitu ni kwamba hali hiyo imesababisha ukosefu wa mvua na kuchangia kwa wakulima kupata mazao duni. Mabadiliko[Read More…]
By Samson Guyo, Shuguli ya kuwagawia wafanyibiashara nafasi haswa walio adhirika baada ya ubomozi uliofanyika kabla ya ujenzi wa soko jipya la Marsabit imerejelewa hii leo. Kulingana na mwenyekiti wa manispaa ya mji wa Marsabit Roba Sereka, ni kuwa shughuli hiyo iliweza kufanywa kwa usawa huku wakipokea malalamishi ambayo wameahidi[Read More…]
By Samson Guyo, Hisia mseto zinazidi kuibuliwa kuhusiana na kauli ya Waziri wa Elimu Prof George Magoha kuwa ni lazima wazazi walipe karo ya shule ya muhula wa 3 la sivyo watoto warejeshwe manyumbani. Baadhi ya wazazi waliozungumza na idhaa hii mjini Marsabit wametaja kuwa serekali haifai kulazimisha wazazi kulipa[Read More…]
By Samson Guyo & Grace Gumato Serekali imetenga Shillingi billioni 2.227 za awamu ya kwanza ili kujenga Barabara kuu ya Marsabit-Shegel ikiwa ni mpango wa kutengeza barabara kuu kutoka Marsabit kuelekea Northhorr. Akizungumza na shajara ya radio jangwani mhandisi mkuu wa mradi huo Joel wairua ameelezea kuwa awamu hiyo ya kwanza[Read More…]
By Samson Guyo, Huku bajeti ya kitaifa ikitarajiwa kusomwa alhamisi tarehe 10 mwezi huu,baadhi ya wananchi katika kaunti ya Marsabit wameelezea kusikitishwa na baadhi ya maswala yaliyopo kwenye bajeti. Wakizungumza na idhaa hii wakaazi hao wamelalama kuwa mwaka nenda mwaka rudi matatizo yamekua yale yale kwa wananchi wa kawaida. Aidha[Read More…]
Na Machuki Dennson Kanisa Katoliki limetaka mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI kuahirishwa hadi baada ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2022. Katika ujumbe wao hii leo maaskofu wamewataka viongozi kuheshimu katiba na taasisi za kisheria. Wamependekeza kuwa mabadiliko muhim,u na ya dharura yafanyike kupitioa miswada ya[Read More…]
Na Mark Dida Watahiniwa 197 wa KCSE mwaka 2020 wamejizolea alama ya kuwawezesha kujiunga na vyuo vikuu kulinganishwa na mwaka 2019 ambapo wanafunzi 112 walijiunga na vyuo vikuu katika kaunti ya marsabit. Ni watahiniwa 2,013 waliufanya mtihani huo katika kaunti hii. Hii ni kwa mujibu wa Mkurugezi wa Elimu kaunti[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Jamii nyingi katika kaunti ya Marsabit zimewatelekeza wanawake huku wengi wao wakiumia kipindi kunapotokea majanga kwa kukosa ufahamu. Haya yamebainishwa wakati wa hafla ya kuwahamasisha wanawake kuhusu namna ya kujimudu wakati wa majanga. Afisa anayesimamia shughuli hiyo Sahara Ahmed amesema kuwa ipo hoja ya wanawake kupewa elimu[Read More…]
Na Waihenya Isaac, Serikali kwa ukishirikiano na mashirika tofauti nchini imefaulu kukabili nzige wa Jangwani ambao wamekuwa wakiwahangaisha wakulima na kuharibu mimea mashambani kwenye maeneo mbali mbali hapa nchini. Kulingana na waziri wa ugatuzi Eugine Wamalwa ni kuwa serikali ikishirikiana na shirika la umoja wa mataifa la chakula na kilimo[Read More…]