Viongozi wa kidini wakemea kisa cha mauaji ya mapacha Dukana, Marsabit
January 24, 2025
County updates, notifications, news from the Marsabit County
Na Grace Gumato Shughuli za masomo na biashara zimeadhirika katika eneo la Balesaru na Dukana kutokana na mzozo wa mipaka katika taifa la Kenya na taifa njirani la Ethiopia. Wakizungumza katika kikao cha usalama kilichowaleta pamoja jamii zinazoishi kwenye mipaka wakaazi wa eneo hilo wakiongozwa na mwakilishi wa akina mama[Read More…]
Na Samuel Kosgei CHAMA cha kutetea maslahi ya walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET tawi la Marsabit kimesisitiza kuwa kinaunga mkono mgomo wa walimu wa shule za upili unaoendelea kote nchini.Mwenyekiti wa chama hicho cha KUPPET hapa Marsabit Boru Adhi amesema kuwa muungano huo hautakubali walimu[Read More…]
NA NAIMA Wizara ya afya katika kaunti ya Marsabit imetihibitisha kuzuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa Surua au MEASLES jimboni. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani afisini mwake waziri wa afya jimboni Marsabit Malicha Boru amedokeza kuwa ugonjwa huu umeripotiwa katika maeneo bunge ya Moyale na Northhorr. Visa vitatu vimeripotiwa[Read More…]
NA GRACE GUMATO Wito unazidi kutolewa kwa wakaazi ya Dukana na Balesaru kuishi kwa amani na kudumisha amani mipakani. Akizungumza katika eneo la Dukana na Balesaru kamishna wa kaunti ya Marsabit James Kamau amewahakikishia wakaazi wa maeneo hayo kuwa oparesheni ya kuwaondoa wahalifu kutoka nchi jirani ya Ethiopia imeanza huku[Read More…]
NA ISAAC WAIHENYA Kulingana na walimu wakuu katika badhi ya shule za msingi za umaa tulizozuru hii leo ni kuwa asilimia kubwa ya wanafunzu hawajaripoti shuleni siku ya kwanza kutokana na mgomo wa walimu wa uliokuwa umetangazwa na chama cha walimu nchi KNUT na kisha baadae kufutwa dakika za mshisho.[Read More…]
NA HENRY KHOYAN Jamii ya Rendile inayopatikana katika kaunti ya Marsabit pekee inalenga kufufua na kuimarisha mila na tamaduni zao kupitia kuonesha vyakula vya mbalimbali kitamaduni na mila zao za kutoka jadi. Sherehe hiyo ya kipekee inatarajiwa kuanza Ijumaa tarehe 23 hadi 25 Agosti, ikiongozwa na shirika la Pastrolist People[Read More…]
Na Samwel Kosgei, Wizara ya afya kaunti ya Marsabit imetangaza uwepo wa visa 10 vya ugonjwa wa macho mekundu (red eyes) ambao mwezi jana ulitangazwa kuwepo kaunti ya Mombasa. Wizara hiyo ikiongozwa na waziri wa afya Grace Galmo imesema kuwa dalili ya ugonjwa huo ni ikiwemo kuhisi uchungu machoni, kufura[Read More…]
Na Isaac Waihenya Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 15 ameaga dunia siku ya Jumapili baada ya kusombwa na maji ya mto Kargi katika eneo la Kargi katika kaunti ya Marsabit. Akidhibitisha kisa hicho MCA wa wadi ya Kargi Christopher Ogom amesema kwamba msichana huyo alikuwa akichunga mbuzi karibu na[Read More…]
By Silvio Nangaori and Dennson Machuki Marsabit central has plunged again the dark with power outage expected to continue for more days following an unprecedented breakdown of the only generator that was brought from Moyale. The generator broke down on Wednesday evening but Kenya Power statement said it broke down[Read More…]
Na Isaac Waihenya Kampuni ya maji katika kaunti ya Marsabit MARWASCO imewataka wakaazi wa mji wa Marsabit kuwa na subira inapoendeleza zoezi la kurekebisha mifereji ya maji iliyoharibiwa wakati wa ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali hapa mjini. Akizungumza wakati wa mkao na wateja wa MARWASCO uliolenga kusikiliza lalama za[Read More…]