Idadi chache ya wanafunzi waripoti shuleni wiki ya kwanza ya muhula huu…
January 10, 2025
regional updates and news
Na Isaac Waihenya, Tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC imewaajiri walimu 56 katika kaunti ya Marsabit watakaohudumu katika shule 149 za umaa zitakazokuwa na shule za upili ngazi ya chini Junior Secondary. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa TSC tawi la Marsabit Sammy Loitakol ni kuwa walimu hao watasaidiana na wengine[Read More…]
Na Samuel Kosgei, MKURUGENZI wa idara kilimo kaunti ya Marsabit Julius Gitu amesema kuwa suluhu pekee ya kuweza kuzalisha chakula cha kulisha wananchi wa marsabit siku za usoni ni kuweka mikakati ya kuchimba mabwawa makubwa ili kuyateka maji ya mvua. Anasema mara kwa mara maji mengi yamekuwa yakipotea pindi mvua[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Jumla ya shule 196 za umaa na za kibinafsi katika kaunti ya Marsabit zimetajwa kuwa na uwezo kuwa na shule za upili ngazi ya chini Junior Secondary. Kwa mujibu wa msimamizi wa kiwango cha ubora wa elimu katika kaunti ya Marsabit Mumas Wanyama ni kuwa idadi hiyo[Read More…]
Na Isaac Waihenya Na Samuel Kosgei, Jesca Anna Napoya kutoka shule ya upili ya Bishop Cavallera Girls ndiye aliyeongoza katika shule hiyo kwa kupata alama ya A- ya alama 74. Wanafunzi 50 kati ya 52 wamefanikiwa kupata alama za kujiunga na chuo kikuu. Mwanafunzi mmoja alipata alama ya A, B+1,[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Diba Matacho mwanafunzi mwenye umri wa miaka 22 ambaye aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya Rufaa kwa muda wa miaka sita amepata alama ya B- kwenye matokeo ya mtihani wa kitaifa yaliyotangazwa hii leo. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee Matacho aliyeufanyia mtihani wake wa kitaifa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Waziri wa maji Alice Wahome ameahidi kuwa wizari ya maji itarekebisha visima yote yaliyoharibika katika kaunti ya Marsabit ili kutatua swala la ukosefu wa maji haswa kipindi hichi cha ukame. Akizungumza alipozuru kaunti ya Marsabit kukagua miradi ya maji,Waziri Wahome ametaja kwamba wizara ya maji inajiza titi[Read More…]
Na Isaac Waihenya na Samuel Kosgei Mwanaume mmoja wa miaka 50 ameuawa na wezi wa mifugo katika eneo la Shrine eneobunge la Saku kaunti hii ya Marsabit. Kulingana na kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Marsabit ya Kati Johnston Wachira ni kuwa mbuzi 100 waliibwa na majambazi hao waliojihami kwa[Read More…]
By Radio Jangwani Three Tanzanian fishermen who were rescued by a cargo ship after getting stranded at sea for 3days and two nights, arrived safely at the port of Mombasa last evening. In a heart wrenching survival story, three fishermen from the nondescript Tanagani area in Pemba survived without[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Gavana wa Marsabit Mohamud Ali, amewateua maafisa wakuu 24 kushikilia idara mbalimbali katika serekali yake. Ishirini na nne hao wameteuliwa kutoka kwa orodha ya watu 101 walioitwa kuhojiwa. Kwenye taarifa iliyosomwa na katibu wa kaunti Ibrahim Sora ni kuwa idadi hiyo ni tano zaidi ikilinganishwa na 19[Read More…]
Na Samuel Kosgei, Wazee kutoka upande wa Merile wa Marsabit na Sereolipi upande wa Samburu kwa pamoja wamelaani vijana na wahalifu wanaowahangaisha wapita njia na wanabiashara wa mifugo katika Barbara kuu ya Isiolo – Moyale. Wazee hao waliopatana katika eneo la Milima Mitatu upande wa Samburu Mashariki wameapa kuwa wakati[Read More…]