Idadi chache ya wanafunzi waripoti shuleni wiki ya kwanza ya muhula huu…
January 10, 2025
regional updates and news
Na Samuel Kosgei Serikali imesema kuwa kwa sasa inaendesha programu ya kuwezesha uwepo wa intaneti na mtandao katika maeneo yasiyo na uwezo wa kupatikana kwa mawimbi ya mawasiliano katika kaunti ya Marsabit. Kaimu kamishna wa Marsabit David Saruni amesema kuwa zoezi hilo la kuweka mitambo ya kuwezesha mawimbi ya mtandao[Read More…]
NA CAROL WAFORO Usalama umeimarishwa mpakani pa Kenya na Ethiopia kufuatia makabiliano yanayoendelea kati ya kundi la waasi la Oromo, OLF na wanajeshi wa Ethiopia. Ni makabiliano yanayoendelea katika eneo la Dukale nchini Ethiopia kilomita moja kutoka kaunti ndogo ya Sololo, Kenya. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani kaimu kamisha[Read More…]
Na Grace Gumato Wazazi, Walimu na kamati ya shule ya Boru Haro kaunti ya Marsabit Jumamosi hii wameandaa warsha katika shule hiyo ili kumpongeza mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa kupandishwa ngazi na kupata cheo cha afisa mkuu wa kutathmini ubora wa elimu katika kaunti ndogo ya Loiyangalani. Akizungumza katika[Read More…]
Na Carol Waforo Kaunti ya Marsabit imepiga hatua kubwa katika kukabiliana na kuziua ugaidi na itikadi kali. Haya yamebainika katika kikao jumuishi cha kaunti ya Marsabit kilichohusisha jamii, Idara mbalimbali serikalini, mashirika yasiyo ya kiserikali pamoja na wanahabari kuhusiana na kukabili na kuzuia ugaidi na itikadi kali. Ni hafla[Read More…]
Na Samuel Kosgei Muungano wa wataalam na wasomi kutoka jamii ya Gabra kaunti hii ya Marsabit hii leo wameandaa mkutano ulionuiwa kuunganisha jamii hiyo baada ya viongozi wao kuchukua mwelekeo tofauti wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Akizungumza katika hafla hiyo mwenyekiti wa muungano huo wa Gabaro[Read More…]
Na Samuel Kosgei WAZIRI wa afya Susan Nakhumicha amesema kuwa bima mpya ya afya (Social Health Authority- SHA) iliyobuniwa kuchukua nafasi ya bima ya kitaifa ya afya NHIF itaanza kufanya kazi kuanzia mwezi wa saba ambao ndio mwezi wa kwanza wa mwaka wa kifedha. Waziri Nakhumicha akizungumza alipozuru kaunti ya[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI MWAKILISHI wa wanawake kaunti ya Marsabit Naomi Jillo Wako ameendelea kutetea mswada kifedha wa 2024/25 unaoenda kujadiliwa na bunge wiki ijayo akisema kuwa mswada huo utazidisha maendeleo kaunti ya Marsabit na taifa lote kwani serikali itakusanya hela za kutosha. Wakti uo huo Naomi anasema kuwa kupitia kupitishwa[Read More…]
Na Samuel Kosgei Mbunge wa Laisamis Joseph Lekuton amependekeza bunge kubuni kutengeneza sheria itakayoruhusu wakenya wanaoaga dunia kupeana viungo vya mwili kwa hiari akisema hatua hiyo itasaidia wakenya wanaohitaji viungo hivyo. Lekuton akizungumza kwenye hafla ya kutoa damu katika hospitali kuu ya Marsabit Ijumaa amesema – kama vile wakenya husaidia[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI Katika juhudi za kukuza kilimo miongoni mwa vijana, wazazi katika Kaunti ya Isiolo wameombwa kuwashirikisha watoto wao katika shughuli za ukulima, kuanzia kiwango cha vijiji na katika wadi mbalimbali. Wito huu umetolewa na Charlene Ruto, binti ya Rais William Ruto, wakati alipofanya ziara katika Kaunti ya Isiolo[Read More…]
NA LELO Baadhi ya wananchi waliozungumza na idhaa hii wakiongozwa na Steven Roba wameonekana kuunga mkono mapendekezo ya bajeti hiyo wakisema kuwa yametilia maanani suala la mfumuko wa bei huku wakitarajia kuimarika kwa uchumi kutokana na hayo. Kwa upande mwingine, baadhi ya wakaazi wamelalamika wakidai kuwa serikali itawadhulumu kupitia mswada[Read More…]