HAMASISHO DUNI KUHUSU BIMA YA SHA NDIO SABABU KUU YA WATU KUTOJISAJILI KWA WINGI KAUNTI YA MARSABIT.
December 3, 2024
NA SAMUEL KOSGEI
MWAKILISHI wa wanawake kaunti ya Marsabit Naomi Jillo Wako ameendelea kutetea mswada kifedha wa 2024/25 unaoenda kujadiliwa na bunge wiki ijayo akisema kuwa mswada huo utazidisha maendeleo kaunti ya Marsabit na taifa lote kwani serikali itakusanya hela za kutosha.
Wakti uo huo Naomi anasema kuwa kupitia kupitishwa kwa mswada wa fedha mwaka jana serikali imeanza kuimarisha uchumi wa taifa na maendeleo mengi yataonekana.