Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.
November 23, 2024
regional updates and news
Na Ebinet Apiyo Huku zikisalia siku chache tu kabla ya Bajeti Mpya kusomwa na Baraza la Magavana (CoG) kushutumu serikali kuu kwa kula njama ya kupokonya kaunti sekta ya afya, baadhi ya wakaazi wa mji wa marsabit wameunga mkono nia hiyo wakidai kaunti zimeshindwa kuendesha sekta ya afya. Hata hivyo[Read More…]
Na Samuel Kosgei Mamlaka ya Kitaifa ya Kudhibiti Ukame na majanga (NDMA) tawi la Marsabit, kwa sasa inaendeleza zoezi la kusajili familia 4000 ambazo zinapaswa kupokea Ksh.3,700 kila mwezi katika mpango mpya wa kukabiliana na njaa HSNP. Mratibu wa mamlaka hiyo hapa Marsabit Guyo Golicha Iyya alisema kuwa Familia hizo[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI Katika taarifa kutoka Kaunti ya Isiolo, Naibu Gavana James Lowassa amesisitiza kauli ya Gavana Abdi Guyo kwamba serikali yao itachukua jukumu la kujenga barabara katika kaunti hiyo na kuweka lami. Aidha, Lowassa ametangaza kuwa ujenzi wa kichinjio kikubwa wadi ya Burat unaelekea kukamilika. Pia ameomba serikali kuu[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI Katika taarifa ya siku ya mazingira, shirika la kijamii la Green Dreamers Initiatives limesema kuwa limetoa ahadi ya kupanda miti milioni 60 ifikapo mwaka 2060 katika Kaunti ya Isiolo. Mkuu wa shirika hilo, Lilian Akal, amesisitiza kuwa upanzi wa miti ndio njia pekee ya kubadili hali ya[Read More…]
Katika taarifa kutoka Marsabit, watu wanne wamefikishwa mahakamani kwa kosa la uharibifu wa msitu, ambalo ni kinyume cha sheria. Washukiwa wanaotuhumiwa ni Boru Malicha, Hussein Galgallo, Guyo Jarso na Abkul Galgallo. Wanadaiwa kupatikana na miti aina ya Drypetes Gerrardii katika eneo la msitu wa Marsabit bila kuwa na stakabadhi yoyote.[Read More…]
BY APIYO EBENET AND JOHN BOSCO NATELENG Mwanaharakati Nuria Gollo wa MWADO (shirika lisilo la kiserikali) ametoa wito kwa viongozi katika Kaunti ya Marsabit kusitisha malumbano na mvutano wa kisiasa baina yao na kuanza kufanya kazi kwa ushirikiano. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi yake, Nuria amewaomba viongozi kuzika[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Marsabit, Bw. Abdi Ano, ametoa wito wa kukarabatiwa na kuboreshwa kwa shule hiyo. Akizungumza katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani iliyofanyika shuleni, Bw. Ano amelalamikia ukosefu wa miundombinu muhimu kama vile madarasa na vyoo. Amebainisha kuwa takribani wasichana[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mazingira Taifa (NEMA), Naftaly Osoro, amewaasa vikali wauzaji wa muguka na miraa katika Kaunti ya Marsabit dhidi ya matumizi ya mifuko ya plastiki, ambayo imepigwa marufuku tangu mwaka 2017. Akizungumza na waandishi wa habari kwa njia ya simu, Osoro amesema kuwa NEMA inashirikiana[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Huku ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mazingira Taifa (NEMA) Naftaly Osoro amebainisha umuhimu wa wakaazi wa Kaunti ya Marsabit kushiriki kikamilifu katika shughuli za utunzaji wa mazingira. Kwa mujibu wa Osoro, ushiriki wa wakaazi katika utunzaji wa mazingira utasaidia sana katika kukomesha[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Katika sherehe za maadhimisho zilizofanyika katika Shule ya Msingi ya Marsabit Full Primary, Naibu Msimamizi wa Misitu KFS Kadiro Oche alisema kuwa idadi ndogo ya miche 150 iliyopandwa inatokana na upungufu wa mvua. Kadhalika, Oche alitoa wito kwa wakazi pamoja na wadau wengine katika Kaunti ya Marsabit[Read More…]