Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.
November 23, 2024
regional updates and news
Na Johnbosco Nateleng Kiongozi wa vijana katika lokesheni ya Nagayo eneo bunge la Saku, kaunti ya Marsabit Hussein Liban Boru ametaka viongozi kuangazia maswala ya kuwainua vijana katika eneo hilo kwani vijana wengi hawana kazi. Boru amesema kuwa kwa manufaa ya vizazi vijavyo ni sharti viongozi wajitolee na kuwahamazisha[Read More…]
NA GRACE GUMATO Mwananume mmoja mwenye umri wa makamu amefikishwa katika Mahakama Ya Marsabit hii leo kwa kosa la wizi. Mshukiwa Ibrahim Yayo Yede anadaiwa kwamba kati ya tarehe 3 na 4 mwezi huu ktk mtaa wa Marsabit aliweza kuiba vitu vyenye dhamani ya shillingi 150,000 mali ya kampuni ya[Read More…]
Na Caroline Waforo Marufuku iliyoko katika mgodi wa illo eneo la Dabel eneo bunge la Moyale kaunti ya Marsabit itaendelea kutekelezwa. Haya ni kulingana na waziri wa usalama wa kitaifa Kithure Kindiki ambaye alizungumza katika uzinduzi wa nne wa mpango wastani ambao unajumuisha kipindi cha mwaka 2023-2027, kikao cha kuhusisha[Read More…]
Na Caroline Waforo Waziri wa usalama wa kitaifa Kithure Kindiki ametahadharisha vyombo vya habari nchini dhidi ya kueneza maneno ya uchochezi wa umma. Waziri alizungumza katika uzinduzi wa nne wa mpango wastani ambao unajumuisha kipindi cha mwaka 2023-2027, kikao cha kuhusisha umma na ufafanuzi wa programu ya maendeleo katika kaunti[Read More…]
Na Caroline Waforo Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametaka kutekelezwa kwa miradi ya maendeleo ambayo imejumuishwa katika ruwaza ya serikali kuu ya mwaka 2023/27. Wakitoa maoni yao katika uzinduzi wa nne wa mpango wastani ambao unajumuisha kipindi cha mwaka 2023-2027, kikao cha kuhusisha umma na ufafanuzi wa programu ya maendeleo[Read More…]
Na Caroline Waforo Serikali itatumia shilingi milioni 612 ili kuunganisha kaunti ya Marsabit na mfumo wa umeme wa taifa, National grid kutoka Loiyangalani hadi mjini Marsabit. Haya yamebainika katika uzinduzi wa nne wa mpango wastani ambao unajumuisha kipindi cha mwaka 2023-2027, kikao cha kuhusisha umma na ufafanuzi wa programu ya[Read More…]
Na Carol Waforo Katika juhudi za kuwahakikishia wakaazi wa Kaunti ya Marsabit usalama wao wa chakula serikali inapanga kufanya miradi mbalimbali ya maji itakayopiga jeki ukulima. Hii ni pamoja na kujenga mabwa pamoja na kuchimba visima vya maji katika maeneo tofauti humu Jimboni Marsabit. Haya yamebainika katika uzinduzi wa[Read More…]
Na Caroline Waforo Mwanaume moja mwenye umri wa miaka 24 alifikishwa mahakama ya Marsabit Ijumaa kwa kosa la kumnajisi msichana wa miaka 14 na kumpachika mimba. Ni kitendo ambacho kinaripotiwa kufanyika katika eneo la loiyangalani eneo bunge la laisamis, kaunti ya Marsabit, kati ya mwezi January na February mwaka huu.[Read More…]
Na Grace Gumato Msimamizi wa idara ya chanjo ya watoto katika kaunti ya Marsabit Abdub Boru amesema kuwa Idadi ya watoto wanaopokea chanjo katika kaunti ya Marsabit imepungua kutoka mwaka wa 2021. Boru amesema kuwa kaunti ndogo ya North Horr ndiyo iko na idadi ndogo ya watoto ambao wameweza kupata[Read More…]
Na Caroline Waforo Baada ya malalamishi ya wakaazi wa eneo la Elebor iliyoangaziwa na Radio Jangwani kuhusu uhaba wa madarasa katika shule ya chekechea ya Elebor iliyoko kaunti ndogo ya Sololo, idara ya elimu humu jimboni Marsabit imelaani malalamishi hayo ikiyataja kama yaliyochochewa kisiasa. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani[Read More…]