Mfumo wa kutatua kesi nje ya mahakama (AJS) wazinduliwa rasmi,Marsabit.
November 23, 2024
regional updates and news
NA ISAAC WAIHENYA Jamii ya Marsabit imetakiwa kuwalinda wanyamapori pamoja na mazingira ili kuzuia mizozo kati ya wanadamu na wanayamapori. Kwa mujibu wa mratibu wa maswala ya mazingira Justus Nyamu ni kuwa japo kaunti ya Marsabit haijaripoti visa vya uwindaji haramu ila bado ipo hoja ya kuhifadhi wanyama pori hao.[Read More…]
Na Caroline Waforo, Mwanamke moja mwenye umri wa miaka 48 amekamatwa na lita 23 za changaa katika eneo la mabatini Lokesheni ya Nagayo kaunti ya Marsabit. Mwanamke huyo ambaye amekamatwa mara kadhaa na kuachiliwa hii ikiwa mara ya nne anaendelea kuzuiliwa na anatarajiwa kufikishwa mahakamani jumanne wiki ijayo. Kulingana na[Read More…]
Na Caroline Waforo, Idara ya usalama mjini Marsabit imepiga marufuku huduma za bodaboda masaa ya usiku. Kulingana na OCS wa Marsabit Central Edward Mabonga marufuku hiyo inatekelezwa kuanzi saa tano usiku hadi saa kumi asubuhi. Hii ni katika jitihada za kuimarsha usalama wa kutosha mjini Marsabit kufuatia kuongezeka kwa visa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Waadishi wa habari hapa jimboni Marsabit wametakiwa kufunguka kuhusiana na maswala yanayowadhiri ili kujizuia dhidi ya msongo wa mawazo. Kwa mujibu wa mwanahabari Abraham Dale ambaye kwa sasa anafanaya kazi na shirika lisilo la kiserekali la MWADO ni kuwa muda mwingi wanahabari hukosa kuzungumza kuhusiana na yale[Read More…]
Na Caroline Waforo, Onyo kali limetolewa kwa vijana wanaoendelea kuwahangaisha wakaazi mjini marsabit kwa kujihusisha na visa vya wizi. Hii ni baada ya duka moja kuvunjwa usiku wa kuamkia leo katika eneo la 680 viungani vya mji wa Marsabit na mali ya dhamana isiojulikana kuibiwa. Akithibitisha kisa hicho OCPD wa[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Idara ya elimu katika kaunti ya Marsabit imeweka mikakati kabambe ili kuzuia visa vya uchomaji wa shule kutokea hapa jimboni. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Marsabit Peter Magiri ni kuwa idara ya elimu imehakikisha kwamba iko makini ili kuzuia kutokea kwa visa vya[Read More…]
NA NAIMA MOHAMMED Wito umetolewa kwa wananchi katika kaunti ya Marsabit kudumisha usafi ili kujizuia dhidi ya maradhi yanayotokana na uchafu. Kwa mujibu wa afisa anayesimamia maswala ya usafi katika kaunti ya Marsabit Chris Mabonga ni kuwa baadhi ya magonjwa ambayo yanaripotiwa hapa jimboni Marsabit yanaweza epukika iwapo wananchi watadumisha[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Serikali itaanza kufanya vikao vya ushirikishwaji wa umma kuhusu umuhimu wa vitambulisho vya kidijtali, maisha card. Vikao hivyo vitakavyoanza mwezi huu wa Septemba vitaongozwa na machifu huku wakaazi jimboni Marsabit wakitakiwa kuhudhuria. Haya yamewekwa wazi na naibu kamishna wa Marsabit ya kati Kefa Marube wakati wa kikao[Read More…]
Na Caroline Waforo, Idara ya elimu katika kaunti ya Marsabit imependekeza kwa wizara ya elimu kuhamishwa kwa shule ya msingi ya El Molo bay iliyoko wadi ya Loiyangakani kaunti ya Marsabit kutokana na kufura kwa ziwa Turkana. Haya ni kulingana na mkrugenzi wa elimu jimboni Marsabit Peter Magiri. Magiri aliyezungumza[Read More…]
Na JB Nateleng & Naima Abdullahi, Mwanamme mmoja aliyeripotiwa kupotea miezi mitatu iliyopita amepatikana akiwa ameiga dunia katika crater ya Goff Arero eneo bunge la Saku,kaunti ya Marsabit. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee chifu wa eneo Qiltu Korma Alex Ali Goresa, amesema kuwa mwanamme huyo na ambaye[Read More…]