Author: Isaac Waihenya

Uchunguzi waanzishwa kuhuisiana na kifo cha balozi wa Amani kaunti ya Isiolo Bi.Elizabeth Ibrahim.

Na Silvio Nangori, Polisi katika kaunti ya Isiolo wameanzisha uchunguzi kufuatia kisa ambapo balozi wa amani bi.Elizabeth Ibrahim ameuawa eneo la Kambi Garba kaunti ya Isiolo. Imeripotiwa kwamba Elizabeth Ibrahim alivamiwa na jirani yake ambaye alimdunga kwa kisu mara kadhaa na kufariki papo hapo. Wakaazi wa eneo hilo walikuwa wamejawa[Read More…]

Read More

Mtu mmoja ameuawa kufuatia shambulizi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabaab katika eneo la Bobo-Hindi kaunti ya Lamu.

  Na Samwel Kosgei, Mtu mmoja ameuawa kufuatia shambulizi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabaab katika eneo la Bobo-Hindi kaunti ya Lamu. Kulingana na ripoti za polisi, watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo walimteketeza John Moji hadi kutotambulika na baadaye kubomoa nyumba yake usiku wa kuamkia leo. Akithibitisha kisa hicho,[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter