Author: Isaac Waihenya

Hisia mseto zazidi kuibuliwa kuhusiana na kauli ya Waziri wa Elimu Prof George Magoha kuwa ni lazima wazazi walipe karo ya shule ya muhula wa 3 la sivyo watoto warejeshwe manyumbani.

By Samson Guyo, Hisia mseto zinazidi kuibuliwa kuhusiana na kauli ya Waziri wa Elimu Prof George Magoha   kuwa ni lazima wazazi walipe karo ya shule ya muhula wa 3 la sivyo watoto warejeshwe manyumbani. Baadhi ya wazazi waliozungumza na idhaa hii  mjini  Marsabit wametaja kuwa serekali haifai kulazimisha wazazi kulipa[Read More…]

Read More

Shirika la Haki Afrika latishia kuwashtaki maafisa wa polisi wanaowaachilia huru washukiwa wa dhulma za kijinisia.

By  Waihenya Isaac, Shirika la kutetea haki za binadamu la Haki Afrika limetishia kuwashtaki maafisa wa polisi wanaowaachilia huru washukiwa wa dhulma za kijinisia. Afisa wa shirika hilo Abdulrahman Mwangoka amewataka wakuu wa idara ya polisi kufuatilia suala hilo ili maafisa hao wakabiliwe kisheria. Mwangoka ameshtumu vikali hulka ya maafisa wa polisi[Read More…]

Read More

Mswaada wa mifungo unaolenga kudhibiti ufugaji wa nyuki hautaidhinishwa. – Asema Waziri Chulungui.

By Waihenya Isaac Waziri wa leba Simon Chilugui amekashifu mswaada wa mifungo unaolenga kudhibiti ufugaji wa nyuki akisema kwamba utawakandamiza wanaofanya biashara hiyo. Waziri Chulugui amesema kuwa ipo wakaazi wanaotegemea nyuki kwa mapato yao na kuahidi kuwa mswaada huo hautaidhinishwa. Mwaada huo unapendekeza marufuku ya kufuga nyuki Katika ardhi ya[Read More…]

Read More

Wanawake watekelezwa Marsabit na hata kufanyiwa uamuzi muhimu wakati wa majanga

Na Waihenya Isaac, Jamii nyingi katika kaunti ya Marsabit zimewatelekeza wanawake huku wengi wao wakiumia kipindi kunapotokea majanga kwa kukosa ufahamu. Haya yamebainishwa wakati wa hafla ya kuwahamasisha wanawake kuhusu namna ya kujimudu wakati wa majanga. Afisa anayesimamia shughuli hiyo Sahara Ahmed amesema kuwa ipo hoja ya wanawake kupewa elimu[Read More…]

Read More

Makundi mbalimbali yanazidi kujitokeza kuwatetea majaji waliotoa uamuzi unasimamisha mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI.

Na Waihenya Isaac Makundi mbalimbali yanazidi kujitokeza kuwatetea majaji waliotoa uamuzi unasimamisha mchakato wa kubadilisha katiba kupitia BBI. Muungano wa wanasheria wa kimataifa ICJ tawi la Kenya umekuwa wa hivi punde kuwasuta wanasiasa kwa kuendelea kuwashambulia majaji waliotoa uamuzi huo. Kupitia kwa mwenyekiti wake Kelvin Mogeni, ICJ imesema inasimama na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter