Author: Editor

Sheria ya kuzuia serikali ya kaunti ya Marsabit kubadilisha miradi ya wananchi ovyo ovyo yachapishwa.

Na Samuel Kosgei Sheria inayolenga kuhakikisha kuwa pesa za maendeleo ya jimbo la Marsabit haielekezwi kwingine iko tayari kutumika baada ya kuchapishwa kwenye gazeti rasmi la serikali. Hayo yamesemwa na MCA wa Laisamis Burcha ambaye alikuwa mwasisi wa sheria hiyo iliyoitwa Marsabit County Equitable Development Bill 2024. Burcha ameambia kituo hiki kuwa mswada huo sasa[Read More…]

Read More

Idara ya usalama kaunti ya Marsabit yalaumiwa kwa utepetevu katika kusuluhisha visa vya wizi wa bodaboda hapa mjini Marsabit.

Na Caroline Waforo, Idara ya usalama kaunti ya Marsabit imelaumiwa kwa utepetevu katika kusuluhisha visa vya wizi wa bodaboda hapa mjini Marsabit. Idara hii sasa imetakiwa kuwajibika katika majukumu yake na hata kuhakikisha kuwa haki inapatikana kufuatia mauaji ya mhudumu moja wa bodaboda viungani mwa mji wa Marsabit. Wakizungumza wakati[Read More…]

Read More

Visa vya magonjwa ya figo vyaongezeka katika kaunti ya marsabit

NA SABALUA MOSES Na huku dunia ikienda kusherekea siku ya figo duniani hiyo kesho wakaazi katika kaunti ya marsabit wamehimizwa  kutembelea  hospitali ya rufaa ya marsabit ili kupimwa kama wana magonjwa ya figo Akizungumza na shajara ya radio jangwani  Jilo Abdi Nassir ambaye ni daktari mkuu anayesimamamia matibabu  ya figo[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter