Author: Editor

Kesi inayopinga ufadhili wa elimu ndio imezuia serekali ya kaunti kuwalipia karo wanafunzi – Asema waziri wa elimu Ambaro Abdullahi.

Wizara ya elimu katika kaunti ya Marsabit imewataka wazazi wa wanafunzi wanaofadhiliwa na serekali ya kaunti ya Marsabit kuwa na subira ili kuruhusu kesi iliyowasilishwa mahakamani kuhusiana na ufadhili huo kukamilika. Akizungumza na Shajara ya Radio Jangwani kwa njia ya simu waziri wa elimu katika kaunti ya Marsabit Ambaro Abdullahi[Read More…]

Read More

Idara ya vijana na michezo kaunti ya Marsabit yaaanda mafunzo ya siku mbili kwa vijana kuhusiana na jinsi ya kupata bima ili kutunza biashara zao, afya au hata bodaboda zao.

Na Isaac Waihenya, Idara ya vijana na michezo katika kaunti ya Marsabit inaanda mafunzo ya siku mbili kwa vijana kuhusiana na jinsi ya kupata bima ili kutunza biashara zao, afya au hata bodaboda zao. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo ambayo yanafanywa na mamlaka ya udhibiti wa bima nchini[Read More…]

Read More

Wavuvi haramu 30 wamekamatwa kwa kuvua samaki kinyume cha sheria ziwa Turkana kipindi cha mwaka moja uliopita.

NA CAROLINE WAFORO Takriban wavuvi 30 wamekamatwa kwa kuvua samaki kinyume cha sheria katika maeneo yanayolindwa katika ziwa Turkana upande wa kaunti hii ya Marsabit katika kipindi cha mwaka moja uliopita. Haya ni kulingana na Mkurugenzi mwandamizi wa shirika la Wanyamapori KWS tawi la kaskazini mashariki Gideon Kebati ambaye amezungumza na[Read More…]

Read More

Idadi kubwa ya wanaume ndio huathirika zaidi na ugonjwa wa figo kuliko wanawake katika jimbo kaunti ya Marsabit.

Na JB Nateleng Wanaume ndio huadhirika Zaidi na ugonjwa wa figo kuliko wanawake katika jimbo la Marsabit. Haya yamebainika katika sherehe ya kuadhimisha siku ya figo duniani iliyoadhimishwa katika hospitali ya rufaa ya Marsabit. Kwa mujibu wa maafisa wa afya katika kaunti ya Marsabit ni kwamba Wanaume wanatabia ya kupuuzilia[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter