CDF Laisamis yakanusha kuwapa wanafunzi hundi (cheques) isiyo na fedha.
July 11, 2025
Na Muchai Kutokana na kucheleweshwa kwa kubuniwa kwa tume huru ya uchaguzi IEBC kinyume na mapendekezo ya ripoti ya Kriegler ya mwaka 2007 kwamba tume ya uchaguzi iweze ikibuniwa miaka miwili kabla ya tarehe kamili uchaguzi wakazi katika kaunti ya Marsabit wametoa kauli zao. Ripoti ya Kriegler iliundwa kufuatia ghasia[Read More…]
Na Carol Waforo Mshukiwa mkuu wa mauaji ya mfugaji mmoja katika eneo la Midroc mpakani mwa Songa na Badassa eneo bunge la Saku kaunti ya Marsabit Jumatano wiki hii bado anaendelea kusakwa na maafisa wa usalama jimboni. Akithibitisha hili afisa mkuu wa upelelezi jimboni Marsabit Kennedy Nyagah amesema kuwa mshukiwa huyo mkuu[Read More…]
Idara ya elimu kaunti ya Marsabit imepinga vikali madai kuwa shule zinazotoa masomo ya kiufundi jimboni zimefungwa kama iliyodaiwa hapo awali na baadhi ya vyanzo. Waziri wa elimu Ambaro Abdulahi ameambia Radio Jangwani kuwa kwa sasa wanafunzi a walimu wanachukua mapumziko mafupi huku wizara yake ikisubiri wizara ya fedha ya[Read More…]
Na JB Nateleng’ Kaunti ya Marsabit ina uwezo wa kutoa vijana bora zaidi wa soka ambao wanaweza kushindana kimataifa. Ni kauli yake mkurugenzi wa TSC tawi la Marsabit Ali Hussein Abdi. Akizungumza hii leo, kwenye ufunguzi wa mashindano ya shule ya sekondari kitengo cha kaunti iliyofanyika katika shule ya Moi[Read More…]
Na JB Nateleng Kwa mara ya kwanza shule ya upili ya Ileret iliyoko Ileret, eneo bunge la North Horr kaunti ya Marsabit imeweza kushiriki mashindano ya muhula wa pili ya shule za sekondari kitengo cha kaunti. Kwa mujibu wa Mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Ileret John Aemun ametaja[Read More…]
NA HENRY KHOYAN Serikali ya kaunti ya Marsabit inaendelea na juhudi za kupambana na ukeketaji na ndoa za mapema miongoni mwa wasichana. Katika mahojiano ya kipekee na Radio Jangwani, Anna Maria Denge, ambaye ni Afisa Mkuu wa idara ya Utamaduni, Jinsia, na Huduma za Kijamii, amesema kwamba inakuwa vigumu kubadilisha[Read More…]
Na Jb Nateleng Kuna haja ya serikali kuweza kuangazia maslahi ya walimu ili kuwapa motisha ya kuweza kuendelea na kutoa huduma iliyobora kwa wanafunzi nchini. Kauli hiyo imetolewa na katibu wa chama cha kutetea maslahi ya walimu KUPPET tawi la Masabit Sarr Galgalo ambaye amejiunga na wakuu wa chama hicho[Read More…]
Naibu mkurugenzi katika idara ya elimu ya kiufundi kaunti ya Marsabit Robert Lenguyo amesema kuwa siku hivi karibuni imeibuka kuwa wanafunzi wengi wanapendelea masomo ya vyuo vya anuwai na kiufundi kuliko vyuo vikuu kutokna na ujuzi anayopata mwanafunzi. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu Lenguyo amesema kuwa wanafunzi[Read More…]
Siku chache baada ya kutokea kwa matukio ya utovu wa usalama katika eneo la Loiyangalani, kaunti ya Marsabit, serikali ya kaunti imetoa wito wa amani na utangamano baina ya jamii zinazoishi jimboni. Kupitia msemaji wa serikali ya kaunti ya Marsabit, Alexander Abdub Barille, serikali imewasihi wananchi kuishi kwa amani, akisisitiza[Read More…]
Na Samuel Kosgei Asilimia 67% ya bajeti nzima ya jimbo la Marsabit itatumika kulipia mishahara na huduma nyingine za kawaida huku asilimia 33 pekee ikitengewa maendeleo. Hii ni kulingana na makadario ya bajeti ya mwaka wa kifedha 2025/26 iliyowasilishwa bungeni na serikali ya Marsabit kupitia wizara ya fedha na mipangilio[Read More…]