Author: Editor

SERIKALI YAZINDUA ZOEZI LA MAFUNZO YA KIDIJITALI LITAKALOENDELEA KWA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI HAPA JIMBONI MARSABIT.

Na Jalle Elias Serikali imezindua zoezi la mafunzo ya kidijitali litakalo endelea kwa kipindi cha miaka miwili hapa jimboni Marsabit. Kulingana na afisa wa mawasiliano katika mwavuli wa kaunti za FCDC Halima Golicha Ibrahim aliyezungumza na waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo ni kuwa majaribio ya zoezi hilo ambayo[Read More…]

Read More
photo courtesy

IDARA YA ELIMU KUSHIRIKIANA NA WASHIKADAU WENGINE, KUANGAZIA NAMNA SHULE YA MSINGI YA EL MOLO BAY INAWEZA HAMISHWA – CDE JOSEPH MAKI

NA ISAAC WAIHENYA Idara ya elimu kaunti ya Marsabit itashirikiana na washikadau wengine, ikiwemo ofisi ya CDF katika eneo bunge la Laisamis na wizara ya usalama wa ndani kuangazia namna shule ya msingi ya El Molo Bay inaweza hamishwa katika eneo salama na mbali na maji ya ziwa Turkana katika[Read More…]

Read More

HUDUMA ZA MAJI MJINI MARSABIT KUREJELEWA MWISHONI MWA WIKI HII HUKU ZOEZI LA KUSAFISHA BWAWA LA BAKULI 2 LILIKARIBIA TAMATI.

Na Samuel Kosgei ZOEZI la kutoa mchanga na kuondoa uchafu kutoka bwawa la Bakuli 2 ulio mlima Marsabit linakaribia kukamilika huku asilimia zaidi ya 90 ikiwa imefanyika kufikia sasa. Hayo ni kulingana na meneja msimamizi wa kampuni ya maji na majitaka kaunti ya Marsabit MARWASCO Stephen Sora Katelo alipozungumza na[Read More…]

Read More

IDADI YA VISA VYA DHULMA ZA KIJINSIA YAONGEZEKA JIMBONI MARSABIT. – ASEMA MWANAHARAKATI NURIA GOLLO

NA GRACE GUMATO Visa vya dhulma za kijinsia yameripotiwa kuongezeka maradufu jimboni Marsabit idadi hiyo ikitajwa kuongezeka kutokana na mabailiko ya tabia nchi na umaskini miongono mwa jamii za wafugaji. Akizungumza na idhaa hii ofisini Mwake Nuria Gollo ambaye ni mwanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu amesema kuwa wanaoadhirika pakubwa na[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter