Author: Editor

Wananchi wa Marsabit watakiwa kukumbatia utumizi wa meko ya kisasa kupikia.

Baadhi ya wakaazi wa Marsabit wamepewa mafunzo  kuhusu namna ya kutumia meko ya kisasa kupikia chakula ikiwa ni lengo mojawapo ya  taifa la Kenya kufikia asilimia 100 ifikapo 2028 katika kupika na meko yenye kukabili hewa chafu. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee afisini mwake mkurugenzi mkuu katika[Read More…]

Read More

WAKAAZI WA KAUNTI YA MARSABIT WAMESIFIA MATUMIZI YA MITANDAO KATIKA JAMII.

Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wamesifia matumizi ya mitandao katika jamii kwa kusema kuwa inasaidia kuwaunganisha na wapendwa wao na kuwajuza yanayojiri katika maeneo tofauti duniani. Baadhi ya waliozungumza na Shajara Ya Radio Jangwani, wamesema kuwa mtandao unasaidia pakuwa katika kuelimisha jamii na kuwataatharisha kuhusiana na mabadiliko ya tabia nchi[Read More…]

Read More

MWENYEKITI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU FKF TAWI LA MARSABIT MOHAMED NANE AMEKANUSHA MADAI KUWA AMEJIUZULU.

Mwenyekiti wa shirikisho la mpira wa miguu FKF tawi la Marsabit Mohamed Nane amekanusha madai kuwa amejiuzulu na kujiondoa katika kinyanganyiro cha mweyekiti wa shirikisho hilo kwenye uchaguzi mkuu wa Disemba 11 mwaka huu. Akizungumza na Radio Jangwnai kwa njia ya simu, Mohamed Nane ameutaja uvumi huo kama propaganda zinzoenezwa[Read More…]

Read More

CHAMA CHA WALIMU (KNUT) MARSABIT YAPATA MWENYEKITI MPYA.

Chama cha kutetea maslahi ya walimu (KNUT) tawi la Marsabit kimechagua mwalimu Kula Lula Omar kuwa mwenyekiti wake mpya kwenye uchaguzi mdogo ulifanyika mjini Marsabit siku ya Jumamosi. Kula sasa anajaza nafasi hiyo iliyoachwa wazi na mumewe aliyeaga dunia mwanzoni mwa mwaka Huu. Nafasi hiyo ilikuwa imevutia wagombeaji wawili ambao ni Kula[Read More…]

Read More

Orodha ya wagombea katika nafasi mbalimbali za FKF Marsabit yatolewa.

Orodha ya wagombea katika nafasi mbalimbali za FKF Marsabit yatolewa. Huku uchaguzi wa kuwania nafasi mbalimbali katika shirikisho la soka nchini Kenya FKF ukitarajiwa kufanyika hivi karibuni wagombea kutoka maeneo mbalimbali wamejitokeza kuwania nafasi za uongozi katika kaunti ya Marsabit. Miongoni mwa nafasi zinazogombaniwa ni pamoja na Uenyekiti,katibu, mweka hazina,mwakilishi[Read More…]

Read More

Wakaazi wa Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na mapendekezo ya kupunguza muhula wa kutawala kutoka miaka mitano hadi miaka minne.

Wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na mapendekezo ya Senata wa kaunti ya Kiambu Karungo Thungwa ya kutaka muhula wa kutawala kupunguzwa kutoka miaka mitano hadi miaka minne. Baadhi ya waliozungumza na Shajara ya radio jangwani, wamesema kuwa wanaunga mkono mswaada huo wa kupunguza muda wa kuhudumu kwa viongozi[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter