Author: Editor

Kituo cha kuvutia watalii cha Illeret Footprint chazinduliwa rasmi.

Wito umetolewa kwa wakaazi wa Marsabit kutembelea vituo mbalimbali vya watalii hapa jimboni ili kuimarisha uchumi wa jimbo. Kwa mujibu wa waziri wa jinsia na utalii katika kaunti ya Marsabit, Jeremiah Lendanyi, ni kuwa kaunti ya Marsabit ina vivutio vingi vya watalii na ambavyo vinaweza kuimarisha uchumi wa jimbo hili,[Read More…]

Read More

Padre Francisco (Frank) Terragni kupumzishwa hiyo kesho Alhamisi….

Jimbo katoliki la Marsabit linasikitika kutangaza kifo cha Padre Francisco (Frank) Terragni kilichotokea tarehe 17 Januari 2025 katika Hospitali ya Huruma kule Nanyuki Akidhibitisha taarifa hiyo Askofu wa Jimbo Katoliki la Marsabit Mhashamu Baba Askofu Peter Kihara amesema kwamba mwili wa marehemu utawasili na kupokelewa Marsabit hii leo tarehe 22 Januari[Read More…]

Read More

FKF tawi la Marsabit kuweka mikakati kuinua hadhi ya michezo jimboni….

Shirikisho la soka nchini FKF tawi la Marsabit linaweka mikakati kambambe ya kuhakikisha kwamba maswala ya michezo yanaendelezwa kiutalamu na kwa mipangilio inayofaa. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa FKF tawi la Marsabit Godana Roba ni kuwa wanapanga kukutana kama washikadau mbalimbali katika sekta hiyo ili kulaini mambo pamoja na utendakazi[Read More…]

Read More

Vijana wazidi kutiwa shime kupigania haki zao nchini.

Na JB Nateleng “Matamshi ya rais mstaafu uhuru Kenyatta, kuhusu kupigania haki yanatia motisha wakenya na kuwapa nguvu ya kuendelea mbele” Hii ni kauli yake Harrison Mugo ambaye ni mwekahazina wa chama cha kisiasa cha National Vision Party (NVP). Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya kipekee Mugo amesema kuwa[Read More…]

Read More

Subscribe to eNewsletter