Marsabit yatajwa kuwa miongoni mwa kaunti zinazokuwa kwa kasi kimaendeleo.
January 15, 2025
Huenda ukosefu wa elimu yakutosha kwa wasichana kikawa chanzo kuu ya wasichana kupata mimba katika kaunti ya Marsabit. Haya ni kwa mjibu wa mashauri katika mradi ya Gaddis Gamme Halima Ibrahim Golicha, mpango ambao hulenga kuelimisha kufunza wasichana namna ya kutetea haki zao na kujilinda kutokana na mathara ya jamii.[Read More…]
Wakazi wa eneo la Huri Hills kaunti ya Marsabit wameweza kupanda Zaidi ya miti 2000 hii leo. Akizungumza na idhaa hii, katekista wa Huri Hills Daniel Sifuna amesema kuwa kupitia msaada kutoka kwa shirika la Welt na KWS waliweza kupanda miche ambayo itasaidia katika kupunguza makali ya ukame na mafuriko[Read More…]
Jamii zinazoishi katika eneo la Loiyangalani zimeshauriwa kuisha kwa Amani msimu huu wa krismasi. Kauli hiyo imetolewa na katibu wa baraza la wazee la Turkana tawi la Loiyangalani, Mzee William Ebukut. Akizungumza na idhaa hii kwa njia ya simu, Mzee William amezitaka jamii zinazoishi katika eneo hilo kuasi kasumba ya[Read More…]
Jamii za kaunti ya Marsabit zimehamasishwa kuhusu jinsi ya kujipanga na kupunguza makali ya mabadiliko ya hali ya hewa. Mafunzo hayo kwa wafugaji yamefadhiliwa na shirika lisilokuwa la kiserikali la CRDD linaloshughulikia umuhimu wa rasilimali na changamoto wanazopitia jamii ya wafugaji. Akizungumza katika hafla hiyo, Rose Orguba ambaye ni[Read More…]
Mbunge wa Moyale, Profesa Guyo Jaldesa, ameitaka serikali kuondoa rasmi tangazo la kufungwa kwa migodi ya dhahabu ya Hillo huko Dabel na kurasimisha kufunguliwa kwake upya. Mbunge huyo amesema kuwa, licha ya serikali kufunga maeneo hayo kwa muda kupitia tangazo rasmi kwa sababu za usalama, inadaiwa kuwa shughuli za kusaka[Read More…]
Ulimwengu waadhimisha siku ya walemavu jana,huku wito wa kuwapeleka watoto walemavu shuleni ukisheheni… Wakaazi katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kuwapeleka wanao shuleni punde tu shule zitakapofunguliwa kwa muhula wa kwanza mwaka ujao wa 2025 Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ndogo ya Bubisa katika kaunti ya Marsabit Jillo[Read More…]
UKOSEFU wa elimu ya kutosha kuhusu bima ya afya ya SHA ndio sababu kuu ya watu kutojisajili katika kaunti ya Marsabit. Haya ni kwa mujibu wa meneja wa mamlaka ya SHA katika kaunti ya Marsabit, Kaaria Mutuma. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake, Mutuma ameelezea sababu kuu zinazoathiri kusajili kwa bima[Read More…]
Wizara ya afya kaunti ya Marsabit imezindua Ambulensi 4 katika juhudi za kuboresha utoaji wa huduma za afya jimboni. Uzinduzi wa ambulensi hizo na ambazo ni ukarabati wa ambulansi zilizokuwa zimetumika hapo awali ulifanyika hapo siku ya Jumatatu. Akizungumza na shajara ya radio Jangwani afisini mwake waziri wa afya jimboni[Read More…]
Michezo ndio nguzo ya kuwauunganisha vijana na kuleta Amani katika jimbo la Marsabit. Haya ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa shirika la REPAL Eddie Lemoile. Akizungumza na idhaa hii, wakati wa mashindano ya mchezo wa voliboli ulioandaliwa katika chuo cha anuwai cha Don Bosco mjini Marsabit, ambayo ilifadhiliwa na shirika[Read More…]
WAMILILIKI na madereva wa magari ya abiria na yale ya kibinafsi wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kuepusha ajali haswa katika msimu huu wa sherehe nyingi za mwezi December. Naibu kamishna wa kaunti ndogo ya Marsabit Central David Saruni akizungumza na meza yetu ya habari amesema kuwa[Read More…]