Mwanaume moja wa miaka 38 ameponea kifo baada ya jaribio la kujitoa uhai kwa kujinyonga kutibuka usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Soweto mjini Laisamis kaunti ya Marsabit.
February 7, 2025
Na Samuel Kosgei Mbunge wa Laisamis Joseph Lekuton amependekeza bunge kubuni kutengeneza sheria itakayoruhusu wakenya wanaoaga dunia kupeana viungo vya mwili kwa hiari akisema hatua hiyo itasaidia wakenya wanaohitaji viungo hivyo. Lekuton akizungumza kwenye hafla ya kutoa damu katika hospitali kuu ya Marsabit Ijumaa amesema – kama vile wakenya husaidia[Read More…]
Jeannie Mai and Jeezy have finalized their divorce. The 45-year-old TV star and the 46-year-old rapper have settled on the terms of their divorce, following their bitter split in 2023. The two share a two-year-old daughter called Monaco together and have filed to keep the details of their agreement under[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI Katika juhudi za kukuza kilimo miongoni mwa vijana, wazazi katika Kaunti ya Isiolo wameombwa kuwashirikisha watoto wao katika shughuli za ukulima, kuanzia kiwango cha vijiji na katika wadi mbalimbali. Wito huu umetolewa na Charlene Ruto, binti ya Rais William Ruto, wakati alipofanya ziara katika Kaunti ya Isiolo[Read More…]
NA LELO Baadhi ya wananchi waliozungumza na idhaa hii wakiongozwa na Steven Roba wameonekana kuunga mkono mapendekezo ya bajeti hiyo wakisema kuwa yametilia maanani suala la mfumuko wa bei huku wakitarajia kuimarika kwa uchumi kutokana na hayo. Kwa upande mwingine, baadhi ya wakaazi wamelalamika wakidai kuwa serikali itawadhulumu kupitia mswada[Read More…]
NA TALASO HUQA Akizungumza nasi afisini mwake Kadiro amesema kuwa ulishaji wa mifugo katika msitu huo mara nyingi huchangia uhalifu na wizi wa mifugo akisema kuwa wafugaji wanaruhusiwa kupeleka mifugo kunywa maji pekee na pia kulisha mifugo hao wakati ambapo kuna kiangazi. Aidha Kadiro amewahimiza wakaazi wa Marsabit kuzidi kupanda[Read More…]
Rihanna has officially ventured into the hair industry with her new line Fenty Hair that focuses oh hair products. The 36-year-old musician put her music career on hold in recent years, as she’s focused on her fashion and beauty brands, and Rihanna is determined to ensure no customers are left[Read More…]
Lupita has been featured on Glamour UK’s May edition and she gets candid about her life and what she likes and dislikes. The 41-year-old actress rose to fame after winning an Oscar for her role in ’12 Years a Slave’ in 2013 but admitted that before that she did not[Read More…]
Na Samuel Kosgei NAIBU kamishna wa kaunti ndogo ya Moyale Benedict Munywoki amekariri umuhimu wananchi wa eneo la Dabel kunakochimbwa dhahabu kuzidi kuvumilia hadi marufuku iliyowekwa na serikali itakapokamilika. Munywoki akizungumza na kituo hiki kwa njia ya simu amesema kuwa iwapo wananchi wataepuka kufika eneo la mgodi wa dhahabu basi[Read More…]
NA GRACE GUMATO Afisa anayesimamia chanjo ya Watoto kaunti ya Marsabit Abdub Boru amesema kuwa chanjo za watoto zilizoisha hapo awali sasa zimefika na zimeweza kusambazwa katika kaunti ndogo za North Horr, Laisamis na Moyale. Akizungumza na idhaa hii afisini mwake Boru amesema idadi ya chanjo ya BCG iliyofika eneo [Read More…]
NA GRACE GUMATO Vijana katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kutoa damu kwa wingi ilikusaidia wale walionao upungufu wa damu. Akizungumza na idhaa kiongozi wa vijana kutoka kaunti ya Marsabit Abdiaziz Boru amesema kuwa wiki hii ikiwa ni wiki ya kutoa damu ulimwenguni amewahimiza vijana wajitokeze kwa wingi ili kuokoa akina-mama[Read More…]