JAMII YA MARSABIT IMETAKIWA KUASI MBINU ZA KUKATA MITI NA KUCHOMA MAKAA ILI KUZUIA UHARIBIFU ZAIDI WA MAZINGIRA.
November 26, 2024
Katika taarifa kutoka Marsabit, watu wanne wamefikishwa mahakamani kwa kosa la uharibifu wa msitu, ambalo ni kinyume cha sheria. Washukiwa wanaotuhumiwa ni Boru Malicha, Hussein Galgallo, Guyo Jarso na Abkul Galgallo. Wanadaiwa kupatikana na miti aina ya Drypetes Gerrardii katika eneo la msitu wa Marsabit bila kuwa na stakabadhi yoyote.[Read More…]
BY APIYO EBENET AND JOHN BOSCO NATELENG Mwanaharakati Nuria Gollo wa MWADO (shirika lisilo la kiserikali) ametoa wito kwa viongozi katika Kaunti ya Marsabit kusitisha malumbano na mvutano wa kisiasa baina yao na kuanza kufanya kazi kwa ushirikiano. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi yake, Nuria amewaomba viongozi kuzika[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Marsabit, Bw. Abdi Ano, ametoa wito wa kukarabatiwa na kuboreshwa kwa shule hiyo. Akizungumza katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani iliyofanyika shuleni, Bw. Ano amelalamikia ukosefu wa miundombinu muhimu kama vile madarasa na vyoo. Amebainisha kuwa takribani wasichana[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mazingira Taifa (NEMA), Naftaly Osoro, amewaasa vikali wauzaji wa muguka na miraa katika Kaunti ya Marsabit dhidi ya matumizi ya mifuko ya plastiki, ambayo imepigwa marufuku tangu mwaka 2017. Akizungumza na waandishi wa habari kwa njia ya simu, Osoro amesema kuwa NEMA inashirikiana[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Huku ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mazingira Taifa (NEMA) Naftaly Osoro amebainisha umuhimu wa wakaazi wa Kaunti ya Marsabit kushiriki kikamilifu katika shughuli za utunzaji wa mazingira. Kwa mujibu wa Osoro, ushiriki wa wakaazi katika utunzaji wa mazingira utasaidia sana katika kukomesha[Read More…]
NA CAROLINE WAFORO Katika sherehe za maadhimisho zilizofanyika katika Shule ya Msingi ya Marsabit Full Primary, Naibu Msimamizi wa Misitu KFS Kadiro Oche alisema kuwa idadi ndogo ya miche 150 iliyopandwa inatokana na upungufu wa mvua. Kadhalika, Oche alitoa wito kwa wakazi pamoja na wadau wengine katika Kaunti ya Marsabit[Read More…]
Media personality and Reggae MC Mary Njambi Koikai also known as Fyah Mummah has died at the age of 38 after a long battle with endometriosis. News of her death has shocked many as it comes shortly after she appealed for blood donations following her recent hospitalization. She put up[Read More…]
NA SILVIO NANGORI Waziri wa Elimu wa Kaunti ya Marsabit,Bi. Ambaro Abdulah Ali, amesisitiza kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo katika kaunti hiyo. Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa shule ya upili ya wasichana ya Kulal, katika wadi ya Loyangalani, Waziri Ambaro amewataka wananchi kuelewa umuhimu wa elimu na kuwapeleka watoto[Read More…]
BY JOHN BOSCO NATELENG Mwanachama wa kamati kuu ya chama cha kisiasa cha National Vision Party (NVP), Harrison Mugo, anasema kuwa suala la muguka linahitaji kuzingatiwa kwa undani ili kukwepa migogoro inayoweza kuzuka kati ya wauzaji wa bidhaa hiyo na serikali. Akizungumza katika mahojiano, Mugo amesema kuwa ni jukumu la[Read More…]
BY CAROL WAFORO AND EBINET APIYO Kaimu Kamishna wa Kaunti ya Marsabit, David Saruni, amewataka watumiaji wa mitandao ya kijamii kuepuka uchochezi wa umma. Amesema kuwa idara ya ujasusi DCI inahakiki baadhi ya kurasa za mitandao yanayohusishwa na madai ya uchochezi. Pamoja na hayo, Saruni amewaelekeza vituo vya redio[Read More…]