Featured Stories / News

Mwanaume mmoja ashtakiwa kwa kumuua mamake eneo la Diibu Dadacha,Sololo.

Na Waandishi Wetu, Mwanaume mmoja ameshtakiwa katika mahakama kuu ya Marsabit kwa mauaji. Mahakama imearifiwa kuwa mnamo tarehe kumi na tatu mwezi Oktoba mwaka wa 2023 katika eneo la Diibu Dadacha kaunti ndogo ya Sololo, kaunti ya Marsabit mshukiwa Doti Waqo Sora alimuua mamake Safao Waqo kwa kumkatakata. Mshukiwa aliwasilishwa[Read More…]

Maadalizi ya mazishi ya mwanammke aliyeuwawa jana kwa kudungwa kisu na mumewe yanaendelea katika kijiji cha Manyatta Chorora eneo la Badassa.

Maadalizi ya hafla ya mazishi ya mwanammke mmoja aliyeuwawa jana jioni kwa kudungwa kisu mara kadhaa na mumewe yanaendelea katika kijiji cha Manyatta Chorora eneo la Badassa kaunti ya Marsabit. Kwa mujibu wa naibu chifu wa eneo la hilo Hussein Abdub ni kuwa mama huyo aliuwawa na mumewe baada ya[Read More…]

Zaidi ya wanafunzi 500 katika shule saba za upili, eneo bunge la Laisamis wanufaika na mradi wa Food for Fees kutoka shirika la Kenya Drylands Education Fund (KDEF).

Na Isaac Waihenya, Zaidi ya wanafunzi 500 katika shule saba za upili katika eneo bunge la Laisamis wamenufaika na mradi wa kuwalipia karo kupita chakula, maarufu Food for Fees kutoka kwa shirika lisilo la kiserekali la Kenya Drylands Education Fund (KDEF). Akizungumza wakati wa zoezi la uzinduzi wa mradi huo[Read More…]

Subscribe to eNewsletter