MOHAMED NANE AMEWEKA WAZI SABABU YA KUSUSIA UCHANGUZI WA LEO.
November 14, 2024
NA CAROL WAFORO Usalama umeimarishwa mpakani pa Kenya na Ethiopia kufuatia makabiliano yanayoendelea kati ya kundi la waasi la Oromo, OLF na wanajeshi wa Ethiopia. Ni makabiliano yanayoendelea katika eneo la Dukale nchini Ethiopia kilomita moja kutoka kaunti ndogo ya Sololo, Kenya. Akizungumza na shajara ya Radio Jangwani kaimu kamisha[Read More…]
The entertainment industry is mourning the loss of comedian Fred Omondi, who died in a road accident early Saturday morning, June 15, 2024. Fredrick Odhiambo Omondi, affectionately known as Fred Omondi, was also the younger brother of award-winning comedian Eric Omondi. Eric expressed his profound grief by sharing a heartfelt[Read More…]
Na Grace Gumato Wazazi, Walimu na kamati ya shule ya Boru Haro kaunti ya Marsabit Jumamosi hii wameandaa warsha katika shule hiyo ili kumpongeza mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa kupandishwa ngazi na kupata cheo cha afisa mkuu wa kutathmini ubora wa elimu katika kaunti ndogo ya Loiyangalani. Akizungumza katika[Read More…]
Na Carol Waforo Kaunti ya Marsabit imepiga hatua kubwa katika kukabiliana na kuziua ugaidi na itikadi kali. Haya yamebainika katika kikao jumuishi cha kaunti ya Marsabit kilichohusisha jamii, Idara mbalimbali serikalini, mashirika yasiyo ya kiserikali pamoja na wanahabari kuhusiana na kukabili na kuzuia ugaidi na itikadi kali. Ni hafla[Read More…]
Na Samuel Kosgei Muungano wa wataalam na wasomi kutoka jamii ya Gabra kaunti hii ya Marsabit hii leo wameandaa mkutano ulionuiwa kuunganisha jamii hiyo baada ya viongozi wao kuchukua mwelekeo tofauti wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Akizungumza katika hafla hiyo mwenyekiti wa muungano huo wa Gabaro[Read More…]
Na Samuel Kosgei WAZIRI wa afya Susan Nakhumicha amesema kuwa bima mpya ya afya (Social Health Authority- SHA) iliyobuniwa kuchukua nafasi ya bima ya kitaifa ya afya NHIF itaanza kufanya kazi kuanzia mwezi wa saba ambao ndio mwezi wa kwanza wa mwaka wa kifedha. Waziri Nakhumicha akizungumza alipozuru kaunti ya[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI MWAKILISHI wa wanawake kaunti ya Marsabit Naomi Jillo Wako ameendelea kutetea mswada kifedha wa 2024/25 unaoenda kujadiliwa na bunge wiki ijayo akisema kuwa mswada huo utazidisha maendeleo kaunti ya Marsabit na taifa lote kwani serikali itakusanya hela za kutosha. Wakti uo huo Naomi anasema kuwa kupitia kupitishwa[Read More…]
Na Samuel Kosgei Mbunge wa Laisamis Joseph Lekuton amependekeza bunge kubuni kutengeneza sheria itakayoruhusu wakenya wanaoaga dunia kupeana viungo vya mwili kwa hiari akisema hatua hiyo itasaidia wakenya wanaohitaji viungo hivyo. Lekuton akizungumza kwenye hafla ya kutoa damu katika hospitali kuu ya Marsabit Ijumaa amesema – kama vile wakenya husaidia[Read More…]
Jeannie Mai and Jeezy have finalized their divorce. The 45-year-old TV star and the 46-year-old rapper have settled on the terms of their divorce, following their bitter split in 2023. The two share a two-year-old daughter called Monaco together and have filed to keep the details of their agreement under[Read More…]
NA SAMUEL KOSGEI Katika juhudi za kukuza kilimo miongoni mwa vijana, wazazi katika Kaunti ya Isiolo wameombwa kuwashirikisha watoto wao katika shughuli za ukulima, kuanzia kiwango cha vijiji na katika wadi mbalimbali. Wito huu umetolewa na Charlene Ruto, binti ya Rais William Ruto, wakati alipofanya ziara katika Kaunti ya Isiolo[Read More…]