Wakazi wa vijiji vya Nawapa,Kulamawe na Kilimambogo Loiyangalani,wamelalamikia uhaba wa maji…
January 15, 2025
Na Ebinet Apiyo, Baada ya kinara wa upinzani nchini Raila Odinga kuonekana kufanya kazi na serekali na baadhi ya wanachama wa ODM kuteuliwa kama mawaziri, wakaazi wa kaunti ya Marsabit wametoa hisia zao kuhusiana na iwapo kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka anatosha kushikilia wadhifa wa kinara wa upinzani nchini. Baadhi[Read More…]
Na JB Nateleng Dhulma za kijinsia na maswala ya unyanyapaa yametajwa kuwa sababu kuu inapelekea watoto wengi katika kaunti ya Marsabit kuweza kuadhirika kiakili. Kulingana na Victor Karani ambaye ni afisa anayeshughulikia maswala ya afya ya akili katika hospitali ya rufaa ya Marsabit ni kuwa watoto wengi jimboni wanakataa kuripoti[Read More…]
NA LELO WAKO NA JOB KOROWA Mratibu wa maswala ya watoto katika parokia ya Marsabit Sisiter Agatha Gatimu ameeleza kuwa kanisa lina mpango wa kuwafunza watoto kanisani na kuwashughulisha katika mashindano tofauti haswa wakati huu wa likizo ya muhula wa pili. Akizungumza na idhaa hii Sisiter Agatha ameeleza kuwa zoezi[Read More…]
Na Lelo Wako & Elias Jalle, Vijana katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kutumia wiki ya vijana kuonyesha talanta zao na vipaji walivyo navyo. Wakiongozwa spika wa bunge la vijana Saku Youth Assembly Abdiaziz Boru, vijana hao wamewataka vijana wenzao kujiunga nao wiki ijayo katika wiki ya vijana ili kuonyesha vipaji[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Ali Ibrahim Shughuli za kawaida zimerejea katika hospitali ya rufaa ya Marsabit baada ya maafisa wa kliniki kurejea kazini. Baadhi ya wananchi waliozungumza na Radio Jangwani wameeleza kwamba kwa sasa hali imeimarika na wamapata huduma za afya kama inavyaostahili. Wametaja kurejea kwa maafisa hao kama afueni[Read More…]
.Na Samuel Kosgei Baadhi ya viongozi wa kidini katika kaunti ya Marsabit wameunga mkono mpango wa serikali kudhibiti maeneo ya kuabudu sawa na kuwapiga msasa viongozi wenyewe. Mwenyekiti wa baraza la makanisa kaunti ya Marsabit Diba Saido akizungumza na idhaa hii amesema kuwa mpango huo wa kudhibiti maeneo ya kidini[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Ali Ibrahim Maafisa wakliniki katika kaunti ya Marsabit wamerejea kazini baada ya kutia saini makubailiano ya kurudi kazi na idara ya afya. Kwa mujibu wa katibu wa muungano wa maafisa wa kliniki katika kaunti ya Marsabit Abdi Shukri ni kuwa maafisa hao wa kliniki wamesitisha mgomo[Read More…]
Na Isaac Waihenya & Ali Ibrahim Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya maafisa wa shirika la wanyamapori hii leo, wito umezidi kutolewa wa kuwepo kwa ushirikiano mwema kati ya maafisa hao na wananchi. Kwa mujibu wa naibu mkurugenzi wa hifadhi ya wanyamapori katika kaunti ya Marsabit Collins Omondi ni kuwa ushirikiano[Read More…]
NA GRACE GUMATO Idadi ya dhulma za kinjisia katika kaunti ya Marsabit Vinazidi kuongezeka maradufu haya yaki changiwa na mabadiliko ya tabia nchi. Idadi hiyo katika mwaka iliyopita ilikuwa visa 14 ilhali ya mwaka huu kutoka Januari hadi mwezi uliopita ilikuwa ni visa 19 huku kaunti ndogo ya Laisamis ikiongoza[Read More…]
Watu wawili kati ya 20 kaunti ya Isiolo wapo kwenye hatari ya kuhusishwa kwenye biashara haramu ya ulanguzi wa binadamu. Haya ni kwa mujibu wa Titi Martin ambaye ni afisa wa programu ya Simba inayotekelezwa na kanisa la Salvation Army. Martin aliweka haya wazi wakati wa maadhimisho ya siku ya kitaifa ya[Read More…]