Jimbo katoliki la Marsabit laadhimisha miaka 60 ya kueneza Injili.
November 23, 2024
Na Caroline Waforo, Serikali itawaachia ardhi baadhi ya watu wanaokalia kipande cha ardhi ya msitu wa Marsabit kama vile Hulahula na Karare. Haya yamebainika leo wakati wa uzinduzi wa Kamati ya watumizi wa huduma za mahakama CUC kaunti ya Marsabit. Akizungumza wakati wa zoezi hilo hakimu mwanadamizi wa mahakama ya[Read More…]
Na Caroline Waforo, Wauguzi katika kaunti ya Marsabit wameapa kuendelea na mgomo wao hadi pale serikali ya kaunti ya Marsabit itakaposhughulikia matakwa yao yote. Mgomo huo ambao umeingia siku yake ya nne hii leo Alhamisi umetatiza kabisa huduma za Afya katika hospitali zote za umaa hapa jimboni ikiwa ni pamoja[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Vijana katika kaunti ya Marsabit wametakiwa kujiunga na biashara badala ya kutegemea kujiariwa. Kwa mujibu wa mmoja wa wakurugenzi wa chama cha wafanyibiashara KNCCI Tawi la Marsabit Joseph Gubo ni kuwa vijana wanafaa kuangazia kujiari badala ya kuajiriwa ili kuhakikisha kwamba wanatatua swala la ukosefu wa ajiri[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Wahudumu wa afya wa nyajani (CHPs) pamoja na wahudumu wa afya wasaididi (CHAs) waitaja dhulma za kijinsia, mihadarati na hata ugumu wa maisha kama maswala yanayochangia ongezeko la idadi ya watu wanaougua maradhi ya afya ya akili. Wakizungumza na vyombo vya habari wahudumu hao wa afya wakiongozwa na[Read More…]
Na Caroline Waforo, Huduma za matibabu katika hospitali za umma katika kaunti ya Marsabit zinataendelea kuathirika hata zaidi baada ya wahudumu wa maabara kuanza rasmi mgomo wao usiku wa kuamkia leo jumatano. Akizungumza na Shajara Ya Radio Jangwani kwa njia ya simu katibu wa muungano wa wahudumu wa maabara Barako[Read More…]
Na Talaso Huka, Mwanaumme mmoja mwenye umri wa makamu amefungwa kifungo cha miaka mitano gerezani baada ya kupatikana na kosa la kumjanisi mtoto wa miaka saba. Mshukiwa Roba Godana Tura anadaiwa kwamba mnamo tarehe 2 mwezi wa mechi mwaka huu wa 2024 katika eneo la kiwanja ndege hapa mjini[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Jamii imetakiwa kutowaficha watoto wanaougua ugonjwa wa kupooza kwa ubongo maarufu Cerebral Palsy. Kwa mujibu wa afisa wa afya ya jamii katika hospitali ya rufaa ya Marsabit Zainabu Huqa ni kuwa jamii ya Marsabit bado inawaficha watoto wanaougua maradhi hayo huku akiwataka kuwapeleka katika vituo vya kiafya ili[Read More…]
Na Caroline Waforo & Naima Abdullahi, Idara ya usalama mjini Marsabit itashirikiana na wazee wa jamii katika kudumisha usalama mjini. Hili litafanikishwa kwa kuandaa mikutano ya kiusalama na wazee wa vijijini kuanzia wiki ijayo. Akizungumza na shajara ya radio jangwani afisini mwake kaimu kamishna wa Marsabit ya kati Kepha Maribe[Read More…]
Na JB Nateleng, Ni jukumu la wananchi kuhakikisha kuwa wanapata huduma bora kutoka kwa afisi za serekali. Haya ni kwa mujibu wa afisa kutoka Tume ya haki za Kiutawala (CAJ) almaarufu “office of ombudsman” Koech Kipkogei. Akizungumza na idhaa hii kwenye hafla ya kutoa hamasa kwa vijana, iliyoandaliwa hapa mjini[Read More…]
Na Isaac Waihenya, Kuhubiri hakuhitaji Degree. Ndio kauli ya Maimamu wa msikiti wa Jamia hapa mjini Marsabit Sheikh Mohamed Noor. Akizungumza na Radio Jangwani kwa njia ya kipee Sheikh Noor ameitaka serekali kutupilia mbali hitaji la viongozi wote wa kidini kuwa na cheti cha degree ili kuruhusiwa kuhubiri. Sheikh Noor[Read More…]